Ndikwega
R I P
- Feb 1, 2012
- 5,979
- 5,529
Uwe kama wa Ngosha, Nzira Kende!Kwani mguu wa mwanaume unatakiwa kuwa vipi?! Nauona kawaida tuu aki kulingana na umbo lake!!
Uwe kama wa Ngosha, Nzira Kende!Kwani mguu wa mwanaume unatakiwa kuwa vipi?! Nauona kawaida tuu aki kulingana na umbo lake!!
Mimi mtaalam wa maumbile subiri nikague nikupe jibuMi naamini huu mguu sio wa mwanaume
Ni ya mwanaume na yawezekana ni wa DarMimi mtaalam wa maumbile subiri nikague nikupe jibu
Hahaha wa mwanaume wa mkoani huyoKwani ni mguu wa kike huu?
Mambo ya Walawi : Mlango 19Covenant
Madam mwanaume ni kukauka kau kau na kaharufu ka jasho jasho kwa umbali pia ni lazima. [emoji38]Tatizo mmeshazoea miguu kama matairi ya tractor!acheni kumuonea wivu mwenzenu,na nyie tunzeni itakua mizuri zaidi ya huu
Sijaelewa jamani nifafanulieni ukoje? Na ulitakiwa uweje?Mi naamini huu mguu sio wa mwanaume
Siku hizi naona umekua mchungaji hongera lakini vipi una elimu ya kuanzisha kanisa.Mambo ya Walawi : Mlango 19
28 Msichanje chale yo yote katika nyama ya miili yenu kwa ajili ya wafu, wala msiandike alama miilini mwenu; mimi ndimi BWANA.
Yesu alikuwa Na elimu gani?Siku hizi naona umekua mchungaji hongera lakini vipi una elimu ya kuanzisha kanisa.