EATV imezunguka maeneo tofauti katika manispaa ya Musoma, Mara, hali ya usalama iko shwari na wananchi wanaendelea na shughuli zao kama kawaida licha ya maduka mengi kufungwa kwa tahadhali.
Hata hivyo, Innocent Mgube akiwawakilisha madereva wenzake anasema kwao kidogo imewaathiri kutokana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.