Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,576
- 12,373
Care ya Magufuli wanapata wachache sana,si ajabu kama amegoma kuondoka
Kwani Magufuli alifukuza mtu????????????Na kama alifukuza alimfukuza nani???Na ni kwasababu ya huduma mbovu alizozikuta kutokana pia na wagonjwa kulala chini au kwakuwa aliambiwa na watu???????????????????Unaweza kukuta huyu mgonjwa mengi aliyomueleza Magufuli siku ile si kweli
lakini Magufuli alikasirika na kufukuza watu
kumbe now huyu mgonjwa ana matatizo ya akili...
Jaribu kutumia hata akili za kuazima ,ina maana huduma ilikuwa Ni nzuri muhimbili? huyo mgonjwa ameongea uongo?Unaweza kukuta huyu mgonjwa mengi aliyomueleza Magufuli siku ile si kweli
lakini Magufuli alikasirika na kufukuza watu
kumbe now huyu mgonjwa ana matatizo ya akili...