Mgonjwa Ebola abainika Hispania


loh na wao wanasherekea gonjwa jipya huko uganda

inasababishwa na mapopo
 
Wameitengeneza wao, sasa imewashinda kuitibu

Una matatizo wewe! unafurahia kuenea kwa ugonjwa? Zaidi ya maneno matupu huna ushahidi kuwe ebola imetengenezwa. Na hata kama imetengenezwa basi wewe ni mbaya kuliko watengenezaji.
 
Wewe ndiye hujielewi,,
mangojwa wamayategeza wao kwenye maabara yao. wanayaleta afrika hafu wajifanya wanatoa misaada.

Vp mkuu ushamrudishia mama muuza samaki ela yake?au unapiga tu porojo hapa na umedhulumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…