Mgonjwa ampigia Saluti Rais Magufuli!

Mgonjwa ampigia Saluti Rais Magufuli!

That's a very easy and weak move for a president to do, even a kindergarten girl if chosen to be president of this ill fated country blessed with a very high significant and overwhelming low IQ citizens can perform such political circus like visiting those poor folks in hospitals.

Tumechoka na mbwembwe za uigizaji. Mmefyeka na kukomba hela kwenye hazina ambazo hizo hizo zingenunuliwa vitanda na T scan. Mabilion ya walipa kodi yameteketea kwenye kampen yako kumdhibiti tu mtu mmoja. Bongo baaadoooooooooo yani badooo.

Ila uzuri wa bongo ukiwa kiongoz ni rahis sana kutawala nakuwawin watu kisaikolojia na kujizolea sifa za kijinga kwa mambo madogo madogooooooo ambayo hata joti, nyamayao, mpoki, mchizmox na kingwendu wakipewa urais wanaweza tu kufanya tena kwa weledi uliotukuka.

JK naye alijizolea sifa hivi hivi kwa mambo madogo madogo kumleta maximo ziara za ghafla hospitalin kuhudhuria misiba kwa fujo na kaSi ya ajab, kuwalinda maalbino kwa mdomo, kuwakingia kifua wanafunzi wakike wasipate mimba kwa mdomo na mzahaha

Si tupo hapa JF hamna madiliko yeyote yatakuwepo. Umaamuma wetu uliokubuhu utatuponza milele[/QUOTE

Acha tabia za kijinga na za kike ww!! alichokifanya kibaya rais hapo ni kipi? ulitaka akawatembelee matajir apolo hospital? unawaza kwa kutumia nn wewe?? vitu vingne bora mkaage kimya tu!!
Yeye si yupo Copenhagen ana shida gani? Sijui anataka rais afanye nini sasa. Aende Copenhagen ama? Mpeni nafasi rais mpya afanye kazi yake. Angalau zifike siku 100 ndiyo muanze kuchonga. Wewe piga boksi huko Copenhagen Bongo hii iache. Ndiyo maana Wabongo mlioko nje mnadharauliwa sana!
 
That's a very easy move even a kindergarten girl if chosen to be president of this country blessed adamantly with low IQ citizens can perform such circus.

Tumechoka na mbwembwe za uigizaji. Mmefyeka na kukomba hela kwenye hazina ambazo hizo hizo zingenunuliwa vitanda na T scan. Mabilion ya walipa kodi yametumika kwenye kampen yako. Bongo baaadoooooooooo yani badooo. Ila uzuri wa bongo ukiwa kiongoz ni rahis sana kutawala nakuwawin watu kisaikolojia kwa mambo madogo madogo amayo hata joti mpoki mchiz mox na kingwendu wakipewa urais wanaweza tu kufanya.

Si tupo hapa JF hamna madiliko yeyote yatakuwepo. Umaamuma wetu uliokubuhu utatuponza milele

Very true indeed!!!... huku homeshopn center na kampun dada ya rzwan wanasamehewa kodi pale tpa 16bln kila wiki.
 
Magufuri ulichokifanya Mungu awe nawe daima haiingii akilini kifaa kiwepo hosptal binafsi ktk hosptali ya serikali ambayo tunachangia na wanapata fedha toka serikalini na vifaa kila siku vibovu..maovu yapo mengi endelea na wanufaika wa iyo miradi ya kutunyonya watapinga tuu..
 
nikusahihishe waliiba kura. Nilikuwepo bongo na kura nilipiga kwa rais wa mioyo ya watanzania

ulirudi lini kujiandikisha acha uongo!! wewe si ulesema unafanya kazi tatu sijui huo muda wa kurudi tz kujiandikisha na kurudi DN na kurudi tena kupiga kura uliupata wapi... hebu wacha uongo...
 
That's a very easy move even a kindergarten girl if chosen to be president of this country blessed adamantly with low IQ citizens can perform such circus.

Tumechoka na mbwembwe za uigizaji. Mmefyeka na kukomba hela kwenye hazina ambazo hizo hizo zingenunuliwa vitanda na T scan. Mabilion ya walipa kodi yametumika kwenye kampen yako. Bongo baaadoooooooooo yani badooo. Ila uzuri wa bongo ukiwa kiongoz ni rahis sana kutawala nakuwawin watu kisaikolojia kwa mambo madogo madogo amayo hata joti mpoki mchiz mox na kingwendu wakipewa urais wanaweza tu kufanya.

Si tupo hapa JF hamna madiliko yeyote yatakuwepo. Umaamuma wetu uliokubuhu utatuponza milele
We Jamaa,,kwa ID yko tu unaonekana ni show-off tu,,unataka tujue ww ni diaspora,,,,,,mbna hueleweki,we uko huko una mfalme wako sijui tuache na rais wetu.....yni uko penyewe sijui mmefikaje,,unatudharau wananchi unasema tuna low IQ ,,hzi ni dharau ni kipumbav,,wengne wana kazi zao tena they make more than you unaleta dharau hapa
 
That's a very easy move even a kindergarten girl if chosen to be president of this country blessed adamantly with low IQ citizens can perform such circus.

Tumechoka na mbwembwe za uigizaji. Mmefyeka na kukomba hela kwenye hazina ambazo hizo hizo zingenunuliwa vitanda na T scan. Mabilion ya walipa kodi yametumika kwenye kampen yako. Bongo baaadoooooooooo yani badooo. Ila uzuri wa bongo ukiwa kiongoz ni rahis sana kutawala nakuwawin watu kisaikolojia kwa mambo madogo madogo amayo hata joti mpoki mchiz mox na kingwendu wakipewa urais wanaweza tu kufanya.

Si tupo hapa JF hamna madiliko yeyote yatakuwepo. Umaamuma wetu uliokubuhu utatuponza milele

Sasa tukusadieje? ndiyo tuko hivyo sasa kwanini usihame nchi au kama hauwezi unaweza pia kunywa sumu ili kutuepuka kwa maana hauna kitu utafanya kutufanya tuwe unavyotaka tuwe!
 
Very true indeed!!!... huku homeshopn center na kampun dada ya rzwan wanasamehewa kodi pale tpa 16bln kila wiki.

Raisi ana wiki moja madarakani ulitaka tayari awe ameshashughulikia wakwepa kodi ndani ya wiki moja tu?
 
baada ya miaka 53 ya uhuru wagonjwa wanalazwa sakafuni alafu mtu unaanzisha thread maalum ya kushangilia Pombe kupigiwa saluti na mgonjwa.
Watanzania wengi bado hawajakuwa binadamu sawa-sawa.
 
baada ya miaka 53 ya uhuru wagonjwa wanalazwa sakafuni alafu mtu unaanzisha thread maalum ya Pombe kupigiwa saluti na mgonjwa.
Watanzania wengi bado hawajakuwa binadamu sawa-sawa.

Ndiyo hivyo tulivyo, utafanyaje sasa? Raisi wetu ndiyo huyo tuliomchagua kwa kura nyingi na anachokifanya tunakikubali, pole sana unaweza ukala malimao au kama ikikuzidia saga chupa unywe ili kutuepuka WatanZania!

CCM out hahahah 🙂
 
Hivi naomba kuwaliza wadau wa humu JF, kuna watu uwa wana allergy na constructive criticism? Wote ni watu wazima na ni lazima tuelewe kwamba sometimes inabidi tu-agree kudis-agree kwani kila mtu ana uwezo wake wa kufikiri na namna yake anavyofikiria na ndio maana kuna wakati tunakuwa tunawaza na kuwazua tofauti... Just simply, "if you wana know what someone feels then step in his/her shoes"...

FYI..tungekuwa wote tunafikiri sawa basi CCM na UKAWA isingekuwepo.. if you cant say something nice sometimes its better to shut up cause the more you talk, the more you reveal how shallow ur thinking capacity is..

I was just passing by...

Mkuu japo you are a mere passerby thanks for your constructive and genuine comments.
 
that's a very easy move even a kindergarten girl if chosen to be president of this country blessed adamantly with low iq citizens can perform such circus.

Tumechoka na mbwembwe za uigizaji. Mmefyeka na kukomba hela kwenye hazina ambazo hizo hizo zingenunuliwa vitanda na t scan. Mabilion ya walipa kodi yametumika kwenye kampen yako. Bongo baaadoooooooooo yani badooo. Ila uzuri wa bongo ukiwa kiongoz ni rahis sana kutawala nakuwawin watu kisaikolojia kwa mambo madogo madogo amayo hata joti mpoki mchiz mox na kingwendu wakipewa urais wanaweza tu kufanya.

Si tupo hapa jf hamna madiliko yeyote yatakuwepo. Umaamuma wetu uliokubuhu utatuponza milele

nyumbu kazini
 
Sitapiga kura tena. Uchaguzi bongo ni kama maigizo. Tawaleni! Tawaleni! Tawaleni!hadi mwisho. Bora mbaki madarakani na klindana milele na msihitishe uchaguz kwasababu mnateketeza hela ya walipa kodi

Nyumbu kazini kama vipi katandike kura serengeti au tarangire mumchague ng'ombe mwenzenu.
 
That's a very easy move even a kindergarten girl if chosen to be president of this country blessed adamantly with low IQ citizens can perform such circus.

Tumechoka na mbwembwe za uigizaji. Mmefyeka na kukomba hela kwenye hazina ambazo hizo hizo zingenunuliwa vitanda na T scan. Mabilion ya walipa kodi yametumika kwenye kampen yako. Bongo baaadoooooooooo yani badooo. Ila uzuri wa bongo ukiwa kiongoz ni rahis sana kutawala nakuwawin watu kisaikolojia kwa mambo madogo madogo amayo hata joti mpoki mchiz mox na kingwendu wakipewa urais wanaweza tu kufanya.

Si tupo hapa JF hamna madiliko yeyote yatakuwepo. Umaamuma wetu uliokubuhu utatuponza milele

hongera....acha mazoea subiri dawa isambae mwili kwanza
 
Back
Top Bottom