Mgonjwa ampigia Saluti Rais Magufuli!

Mgonjwa ampigia Saluti Rais Magufuli!

That's a very easy move even a kindergarten girl if chosen to be president of this country blessed adamantly with low IQ citizens can perform such circus.

Tumechoka na mbwembwe za uigizaji. Mmefyeka na kukomba hela kwenye hazina ambazo hizo hizo zingenunuliwa vitanda na T scan. Mabilion ya walipa kodi yametumika kwenye kampen yako. Bongo baaadoooooooooo yani badooo. Ila uzuri wa bongo ukiwa kiongoz ni rahis sana kutawala nakuwawin watu kisaikolojia kwa mambo madogo madogo amayo hata joti mpoki mchiz mox na kingwendu wakipewa urais wanaweza tu kufanya.

Si tupo hapa JF hamna madiliko yeyote yatakuwepo. Umaamuma wetu uliokubuhu utatuponza milele

Mbwembwe za Lowassa kwenda kunywa chai kwa mama ntilie na kupanda daladala hukuona kama ni maigizo pia? Tunaomfatilia tingatinga tunaujua mziki wake.

Kama umeumia ni vema kukaa kimya ukagugumia ndani kwa ndani kuliko kupiga mayowe😛
 
Sitapiga kura tena. Uchaguzi bongo ni kama maigizo. Tawaleni! Tawaleni! Tawaleni!hadi mwisho. Bora mbaki madarakani na klindana milele na msihitishe uchaguz kwasababu mnateketeza hela ya walipa kodi

Usipige tu ndugu yng wenye uhitaji huo tutapiga tu Mungu akitupa kibali
 
Wanaolipa kodi ndiyo hao hapo sakafuni, wanaokusanya kodi ndiyo wana fly kwenda kutibiwa nje - there is no correlation hata kidogo

Nadhani anamsema mtangulizi wake aliyekuwa anataka kushindana na Marubani kwa masaa mengi angani.

basi inaonekana lilikuwa linamkera sana .. alishindwa jinsi wa kulisema ... hahaha..
 
wewe baki huko copenhagen watanzania waliopiga kura wamechagua huyuhuyu ambaye weye uliyekimbia nchi unamuona hafai... kama ulihitaji mabadiliko ungerudi TZ na kupiga kura ... otherwise just shut the hell up...

hapakazi tu!

Unampa sifa ya bure tu huyo mpiga kiroba,ni jobless huyo yuko Manzese hayuko Denmark.
 
basi inaonekana lilikuwa linamkera sana .. alishindwa jinsi wa kulisema ... hahaha..

Nashindwa kuelewa utashi wa mstaafu sijui alikuwa anakwenda hapo kusafisha macho au kwa misele
 
Kuanzia Sekunde 0.50 hivi, mgonjwa ameshindwa kujizuia pmj na udhaifu wake amempa amiri Jeshi Mkuu Saluti!

Hospitali ya Taifa wagonjwa wanalala sakafuni? Tuna safari ndefu
 
Last edited by a moderator:
That's a very easy move even a kindergarten girl if chosen to be president of this country blessed adamantly with low IQ citizens can perform such circus.

Tumechoka na mbwembwe za uigizaji. Mmefyeka na kukomba hela kwenye hazina ambazo hizo hizo zingenunuliwa vitanda na T scan. Mabilion ya walipa kodi yametumika kwenye kampen yako. Bongo baaadoooooooooo yani badooo. Ila uzuri wa bongo ukiwa kiongoz ni rahis sana kutawala nakuwawin watu kisaikolojia kwa mambo madogo madogo amayo hata joti mpoki mchiz mox na kingwendu wakipewa urais wanaweza tu kufanya.

Si tupo hapa JF hamna madiliko yeyote yatakuwepo. Umaamuma wetu uliokubuhu utatuponza milele

Mijitu kama nyinyi China wangelishakunyongeni zamani sana,upuuzi tu,ungelikuja kupiga kura ili kumchagua huyo unaemtaka,kinyume na hapo shut up.
 
Hili jarida la Udaku la Mwanahalisi lina athari kubwa sana aisee.Hivi mamvi alikuwa kakuahidi kitu gani Mkuu,yaani mmenyang'anywa tonge mdomoni wewe na Pasco??

......... linaitwa Gazeti la MwanaHaramu !

attachment.php

Jamaa mwanaharamu kubenea, alikuwa ana mchana sana mamvia, akamtia tindikali ya macho ! IBRAHIM MGAYA Pasco Copenhagen DN
 
Attachments

  • Kubenea na Lowassa.JPG
    Kubenea na Lowassa.JPG
    13.5 KB · Views: 202
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom