Mgonjwa Akwidwa

Mgonjwa Akwidwa

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
13873126_906141409497173_7497754461051893134_n.jpg
 
Bila shaka kuna maamuzi ya kichwa flani ambayo huwa yanapunguza maamuzi yenye busara
 
Jamani huyu dada hana huruma, jamaa yupo kwenye oksijeni bado anamsogezea vitu vya hatari!

Kwa kuangalia kwa umakini hii picha sina hakika kama huyo mwingine mwenye nguo nyeupe ni 'dada', sijui lakini...
 
Huyo mgonjwa anatiwa majaribini wallahi tena
 
Nahisi ni picha ya kuonyesha upendo

labda kutoka kwenye movie
au photographers...hospital
hawawezi kuruhusu hii
 
Mbona kama mgonjwa ndo aliemkwida mzima!!
 
Back
Top Bottom