Mgomo wa wauza mafuta (petroli na dizeli)

Mgomo wa wauza mafuta (petroli na dizeli)

Kote huko umefika, i mean PUMA, Mwanamboka, Kinondoni, PUMA Sea view road karibu na Bank M. Nahisi unapima upepo, lazima utakuwa na share na wamiliki!

Nadhani hujanielewa nilichoandika kwenye bandiko langu, nashauri rudia kusoma halafu uchangie kama una hoja
 
Nadhani hujanielewa nilichoandika kwenye bandiko langu, nashauri rudia kusoma halafu uchangie kama una hoja

Nimekuelewa sana, nadhani wewe hujaelewa nilichojibu. Nilitaka kujua kama sheli zote hizo ulifika na katika mazingira gani.
 
Back
Top Bottom