Laurence
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 3,104
- 420
Wewe ni mpuuzi kweli angalia na lugha unayotumia,na usifikirie walimu wa sasa sio wa kipindi kile ukijuacho wewe kwa hyo acha kuropoka hovyo na kutumia kauli ya kejeli,hao unaowadharau ndio walikutoa matongotongo,kwa hyo chunga mdomo wako mchafu huo.Waalimu wengi hawana qualifications za kukidhi kiwango! Kama walivyo askari, wengi wao walichagu fani hiyo baada ya kukosa options zingine zaidi ya hizo kutokana na viwango vyao duni vya ufaulu. hivyo basi ni kwamba serikali inawapa fadhila tu kuwalipa hata laki 3 kwa mwezi, otherwise hawakustahili hata kumi.