Wasomi wenzangu, je hamjui namna ya kufuatilia matatizo yenu kwa njia sahihi? Kwani migomo ndio inayotatua?. Mbona ni suala dogo tu?. Kama mnashida fulani mfano ya kifedha inavyoonekana sehemu kubwa ya mada yenu ya mgomo, ni vema mkatuma wawakilishi kuanzia ngazi ya idara kama mnayo and then faculty na baadae ngazi ya chuo na ikishindikana sehemu husika mfano hazina kama mnavyosema na sio kwa Mh. Pinda au sijui kuilaumu CCM sijui na kulaumu mtu binafsi kama Misilamu au Mkristo fulani au Mzanzibar ???????.
Udom ni chuo kikuu kishiriki cha morogoro islamic university
Hapo mzee sina uhakika na maneno yako. Mimi nawajua walimu kadhaa walioajiriwa UDOM, sio wazanzibari wala waislamu, ambao uelewa wao ni finyu sana. Wengine wamesona SUA miaka mitatu, hawajawahi kusimama mbele ya darasa hata kujibu swali! Leo ni walimu. Wameshindwa interview sehemu nyingi za kawaida, wamepata UDOM na ni "LECTURERS". Wenyewe wanaona hata aibu ukikutana nao wanaposema wao wapo UDOM hawataji kazi gani.
Tukubaliane kuwa UDOM kuna standard nyingine ya kuajiri walimu. Sio zile za vyuo vingine TZ.
Lakini, Tanzania tumezoea kutengeneza viwango vyetu na kuviita "vya kimataifa". Soko la Kibaigwa, Uwanja wa ndege wa Mwanza, Songwe, vyote ni vya kimataifa! Hata kufaulu kwenda FOrm I bila kujua kusoma na kuandika ni elimu ya kimataifa.
Tulishaharibu Vyuo vyetu vizuri kwa minajili ya siasa. Vyuo vyote mazingira ya kusoma yamekufa! Hakuna maabara, maktaba bado zinatumia card kutafuta jounal ya mwaka 1985!
Kweli tutafika? Msiwalaumu UDOM, hata huko kwingine nako kumekufa.
wewe tena tumeishakuzoea una allergy na uislam.
udom ni chuo kikuu kishiriki cha morogoro islamic university
Wasomi wenzangu, je hamjui namna ya kufuatilia matatizo yenu kwa njia sahihi? Kwani migomo ndio inayotatua?. Mbona ni suala dogo tu?. Kama mnashida fulani mfano ya kifedha inavyoonekana sehemu kubwa ya mada yenu ya mgomo, ni vema mkatuma wawakilishi kuanzia ngazi ya idara kama mnayo and then faculty na baadae ngazi ya chuo na ikishindikana sehemu husika mfano hazina kama mnavyosema na sio kwa Mh. Pinda au sijui kuilaumu CCM sijui na kulaumu mtu binafsi kama Misilamu au Mkristo fulani au Mzanzibar ???????.
Labda kuwe na la ziada lakini so far hao wanaogoma kama kweli kwa sababu hizo za mleta mada basi lazima tuwe na wasiwasi na watoto wetu wanasoma Udom kwamba hawapati elimu sahihi.
.....
kwa mfano mimi nimeajiriwa kwenye taasisi fulani,wakati wa interview tuliitwa watu 61,waislam tulikuwa 3 (kwa kutumia kigezo cha majina) lakini mwisho wa interview kazi nilipata mimi.kwa hijo si sahihi sana kutumia kigezo cha majina mangapi ya dini flani yanajitokeza kwenye tukio flani la kitaalam kwa sababu kunakuwa na mambo mengi yanayozingatiwaUislamu wa udom ni noma kuna majina ya watu wameitwa interview ya estate na nursing nadhani Leo au kesho pitieni majina muone huo Uislamu wa kutosha.majina Karibu yote ni wadada na wakaka wa kiislamu.pitieni majina hayo muone Wadau inatia hasira sana.