Mgomo wa wafanyaki UDOM wanukia

BabaJunior

Member
Nov 20, 2012
40
15
Sasa ni kama mwezi wa nne mishahara ya wafanyakazi wa Chuo Kikuu Cha Dodoma inachelewe. Kuna habari zisizo rasmi kuwa watu wanaohusika na mishahara wanachelewe kupeleka payroll hazina ndio maana UDOM wanakuwa wa mwisho kulipwa kila mara. Kuna habari za chinichini kuwa wafanyakazi mda wowote watagoma. Huna sababu ya kufanya kazi halafu inapokuja issue ya malipo inakuwa shida. UDOM KUNA MATATIZO MAKUBWA. Mpaka tarehe ya leo (3/12/2012) hakuna dalili kabisa za kulipwa. Kwa stahili hii unatarajia mtumishi atafanya kazi yake kwa usahihi???? Hii ndio hali ilivyo, waalimu wamechoka kuliko wanafunzi.
 
Soo sad, walioko juu wala hawana hii pressure, pole sana UDOM, maisha ni magumu sana, JE TUTAPATA WATAALAM WA AINA GANI HAPO??????
 
Si hapo tu UDOM, SUA nako kabarua ka kuwa wavumilivu kametoka, real hakuna ufanisi hata kidogo.
 
kuwa wavumilivu? Pumbafu kabisa, mbona wahasibu wao wanajilipa mapema? Fuatilieni muone kila sehemu yenye malalamiko ya mishahara wahasibu washajilipa siku nyingi! Nyie endeleeni kuvumilia.
 
Sasa ni kama mwezi wa nne mishahara ya wafanyakazi wa Chuo Kikuu Cha Dodoma inachelewe. Kuna habari zisizo rasmi kuwa watu wanaohusika na mishahara wanachelewe kupeleka payroll hazina ndio maana UDOM wanakuwa wa mwisho kulipwa kila mara. Kuna habari za chinichini kuwa wafanyakazi mda wowote watagoma. Huna sababu ya kufanya kazi halafu inapokuja issue ya malipo inakuwa shida. UDOM KUNA MATATIZO MAKUBWA. Mpaka tarehe ya leo (3/12/2012) hakuna dalili kabisa za kulipwa. Kwa stahili hii unatarajia mtumishi atafanya kazi yake kwa usahihi???? Hii ndio hali ilivyo, waalimu wamechoka kuliko wanafunzi.
"There are two ways to conquer and enslave a nation.
One is by sword. The other is by debt." -– John Adams Second President of US
 
Back
Top Bottom