Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,199
Hamna hotuba isyo enda shule kama ya jana. Hivi wale walikuwa ni wazee wa Dar es salaam au walikuwa wanachama wa CCM?
BREKING NYUUUUUUZZZZZ: TUCTA YASITISHA MGOMO WA KESHOBaada ya kusikia mbwembwe za mwajiri mkuu jana jioni ndugu wafanyakazi wenzangu mgomo utakuwepo au tuachane nao na tukubaliane na ushauri wa mwajiri mkuu????
Niligoma nikiwa nasoma Chuo sikupata Chochote... zaidi nilijipotezea muda wangu wa kusoma.... Sasa na kazini tena nigome???? Hata! Namuheshimu Raisi wangu!
FFU (na JWTZ) hawawezi kuingia kwenye mgomo kirahisi wakati maboss wao wanashinda Ikulu wakila kuku. Ni vigumu kuyashawishi majitu yaliyoko jeshini kwani siku yakikubali kazi inakuwa imeisha. Siyo kitu rahisi.
Mbona huonyeshi kama ulikuwa chuo hata kidogo katika maelezo yako, labda ulisindikiza weingine au ulienda kutalii tu!!!
wachana na huyo mchafuzi wa mazingira tu......am afraid hakujua hata alichokuwa anagomea huko chuo, sasa atajuaje mgomo ulimnufaisha vipiMbona huonyeshi kama ulikuwa chuo hata kidogo katika maelezo yako, labda ulisindikiza weingine au ulienda kutalii tu!!!
Ni bora tu hiyoTUCTA imebarikiwa na viongozi waoga,hiyo ndiyo ponea ya JK otherwise wazoefu wa migomo kama sie tungekua huko basi nchi ingekuwa Ndogo.We ngoja tu,nasema ngoja!
Hapana Mkuu. TUCTA wametumia busara na akili sana. JK na serikali walitumia nguvu nyingi kwa hiyo hapa ingekuwa hatari. Kwa hiyo naamini TUCTA wamefanya jambo la busara.
Hata hii hatua ya kufanya JK aongee kama jana siyo ndogo. Hapo tayari tuko hatua moja mbele.[/QUOTE]
hakika!!ukiweza kumfanya mtu alipuke kama jana basi ujue umemgusa haswaa,muoga na hekima sifuli
hatua zingine zitafata tu sio lazima tuandamane barabarani i
Niligoma nikiwa nasoma Chuo sikupata Chochote... zaidi nilijipotezea muda wangu wa kusoma.... Sasa na kazini tena nigome???? Hata! Namuheshimu Raisi wangu!
MGAYA NI NANI NA TUCTA NI NANI???????????.
Kwa mawazo yangu,Mgaya anapewa jukumu la kuongoza ujumbe wa wafanyakazi Tanzania nzima.
Hata JK jana kakosea kumtaja Mgaya kama issue ni ya mtu binafsi.
Mgaya katumwa na wafanyakazi wote.
SUBIRI HIYO KESHO UTAONA KILICHOMKIMBIZA JAMAA WA SYSHELIS.
Hivi ule mgomo wa maprof wa vyuo umeishia wapi?
Mgomo wa maprof umeisha baada ya kupewa kauli za kwamba eti PM yuko pamoja nao katika kutafuta solution ya matatizo yao. Ila kutokana na move hii ilivyokwisha nimeamini wasomi wengi ndio maana sio matajiri. Maana hawataki ku-take risk, kama umeamua kugoma weka mambo ya sheria nyuma na songa mbele. Hata siku moja mgomo hautaweza kuwa wa halali endapo unapingana na maslahi ya serikali. Hivyo mkiamua kuingia vitani mswiogope kifo.