Mgomo wa wafanyabiashara nchi nzima kesho

Mgomo wa wafanyabiashara nchi nzima kesho

tatizo hapa ni TRA kuwa wababe na kutotaka kutoa elimu ya kutosha kwa hawa wafanyabiashara. watoke maofisini na wakafanye utafiti kwa nini hiki kitu kinapingwa, na waliwahusisha walipa kodi kabla hawajaleta huu mfumo kandamizi?

wanaacha mapapa makubwa yanabadili majina makubwa ya mahoteli kila siku na kuyapa grace periods zisizokuwa na tija kwa taifa badala yake wanahangaika na hawa wadogo. Ni lini walitoa grace periods kwa wafanyabiashara wanaochipukia hapa nchini. waacheni wagome tu
 
Nawaunga mkono wafanya biashara kwani hata upangaji wa kodi wanakaa serikari wenyewe kwenye vikao alafu wanakuja na makadirio yao hiyo haitakiwi inatakiwa wakati wa upangaji bajeti walipa kodi ni wadau muhimu sana inabidi kukaa pamoja na kujadili swala la namna kodi ipangwe
Kitu kingine serikali hii ya ccm imeshindwa kabisa kuwa na huruma na pesa hizi tunazolipa kodi kwani inawanufaisha wachache kwa matumizi yao yaliopitiliza tazama magari ya kifahari ya wakubwa tazama safari za raisi na misafara mikubwa ya wapambe anaandoka nao kwenda nje vitu hivi vinakera sana na tusipovikataa tutahenya
wafanyabiashara wote tuungane kupinga mambo haya
 
Nawaunga mkono wafanya biashara kwani hata upangaji wa kodi wanakaa serikari wenyewe kwenye vikao alafu wanakuja na makadirio yao hiyo haitakiwi inatakiwa wakati wa upangaji bajeti walipa kodi ni wadau muhimu sana inabidi kukaa pamoja na kujadili swala la namna kodi ipangwe
Kitu kingine serikali hii ya ccm imeshindwa kabisa kuwa na huruma na pesa hizi tunazolipa kodi kwani inawanufaisha wachache kwa matumizi yao yaliopitiliza tazama magari ya kifahari ya wakubwa tazama safari za raisi na misafara mikubwa ya wapambe anaandoka nao kwenda nje vitu hivi vinakera sana na tusipovikataa tutahenya
wafanyabiashara wote tuungane kupinga mambo haya

Kodi huwa inajadiriwa Na wadau kabla ya kuanza kutumika Na mara nyingi ni kati ya Machi Na Mei fuatilia!!
 
Pamoja na mwenyekiti wa JwT kutangazia wafanya biashara kuwa mgomo usitishwe hilo haliwexekani kwani maandalizi ya mgomo huo yameisha kamilika kwa aslimia 90 hivyo wafanya biashara kwenda Dodoma kwenye kesi ni ka kawaida na hakuna kufungua duka nchi nzimana ikibidi na hata wenye daladala na mahotel maana na wao ni wafanya biashara.. Kesho ni kulala tu.
 
hakuna kitu hamlipi kodi ukiacha Wafanyabiashara wa mkoa wa Kilimanjaro nchi nzima wanaojiita wafanyabishara wamekataa EFD sasa unajiuliza nchi itaendeshwa vipi? na mnalipa vipi kodi bila ya rekodi kutoka EFD machines? Inabidi tuwaite wezi sasa maana hawaendani na jina biashara!

hapo mkuu umekoseaa kama kitu hujui ni mara mia ukakaa kimya. kinachopingwa sio kodi tena kwa taarifa yako wengi tunazitaka hizo mashine sabab zaman tulikuwa tunapigwa sana. kinachopingwa ni kulazimishwa kuzinunua kwa bei kubwa kuliko kiwango. fikiria mashine moja zinafika mpaka million na hamna alternative nyingine mpaka kwa aagent wao. hizi mashine za muundo huohuo wa tra dubai tena rejareja zinafika mpaka usd 80, iweje hao maagent ambao wanachulia viwandan wapandishe bei mara mia. kama ni hivo wale wanaonunua mabasi ya mpaka mil 600 wawachie nao wajipangie bei.
wanasema mashine watakuwa wanazifanyia servive, mashine yangu baada ya kufanya kazi kwa mwezi mmoja tu imeloga ukimpigia ajent mwezi wa pili haonekani na hapo tra wakija hawana masiala, je ndio haki hiyo? ok makampuni ya madini yanapewa misamaha na yanaingiza mabilion mbona mtanzania anayenuna basi kwa gharama kubwa ya mamilion tena kwa dhumun la kusaidia directly wazawa hapewi msamaha. vitu vingine msiwe mnalopoka tu kwa sabab nyie mmeshindwa kutetea kukatwa mishahara yenu inabid mjifunze kulazimisha. leo hii mmewaachia manyang'au yawaibie na tukija mitandaoni mnaponda. kinachouma zaid inakuwa watu toka mataifa mengine wameanza kulikimbia soko la tz sabab ya bei kubwa ya vitu inayotakana na usumbuf mwingi sana bandarini, leo mchina anapittisha kiulain contena lakin jaribu wewe kupitisha uone kero yako.agiza gari tu ndugu mfano labda mazda biante ambalo ni dhamani sawa na voxy uone kodi utayopigwa kwa sabab hata kwenye calculator yao haipo. hamjiulizi mtu kidogo amehamishiwa bandarini mara mwanae anamilik ghorofa
 
nipo songea mjini kweli jamaa kesho hawafungui maduka yao
 
Wafanyakazi wanakatwa kwa % ya kipato, swala la matumizi ni lako, let's be serious watu walipe kodi, na siye wa kwenye payroll ya serikalini tupate ahueni! wafanyabiashara tusiwachekee, walipe kodi, EFD zipo nchi nyingi tuu, tuzizoee vya kunyonga.

ndugu kwa ukipigia mahesabu kihivo utawaumiza wengi, pale kariakoo maduka mengi unayaona faida zao 500 mpaka buku per item. sasa imagine kitu unauza 16000 tra wakikata chao huo mtaji utaurudishaje? na kwenda china ishakuwa ishu labda uwe na mtaji mkubwa pia bandari ni kandamizi, utwezaje kushindana na mchina ambae anapewa mzigo na kiwanda aje auze arudishe hela baadae?
 
Kesho nami siendi kibaruani kuwasupport wafanyabiashara safi sana yaani
 
hii nchi inaendeshwe na wanyonge wafanyabiashara wakubwa hawalipi kodi

watumiaji umeme na maji wakubwa hawalipi bill zao

watumiaji wakubwa wa mafuta hawalipi vat na kodi zingine

matahiri hawalipi kodi nchi hii

kwepa wewe kapute uone mziki wake


efd ni kwa ajili ya kukamua masikini wa nchi hii na kuua biashara ndogondogo ili zibaki zile za matajiri iwe kama ulaya
 
Hawa wafanyakazi hawajui kuwa wanakatwa kodi kwenye mshahara then hii kodi wanayoshabikia kwa mfanya biashara wanakuja kulipa tena wakiwa walaji wa mwisho wa bidhaa. Mfanya biashara akipandishiwa kodi naye anapandisha bei anayekuja kuumia ni mlaji wa mwisho ambapo huyu mfanya kazi, mkulima na watu wengine wa ngazi za chini ndio wanaokuja kufidia kodi zote hizo. Tuungane na wafanya biashara kulipinga hili
 
wakuu ikifika October mwaka huu mafisadi walioleta zile mashine za efd wajiandae kuzipika tu supu maana hakuna wa kuzinunua watu wana elimu ya urai
 
Nani Kakwambia hawataki lipa kodi? Kabla ila comment elewa kitu! K.uma we

UOTE=STDVII;11878981]huu ni upumbavu wa hali ya juu yaani wafanyabiara hamtaki kulipa kodi!
nchi itaendaje??[/QUOTE]
 
Nani Kakwambia hawataki lipa kodi? Kabla ila comment elewa kitu! K.uma we

UOTE=STDVII;11878981]huu ni upumbavu wa hali ya juu yaani wafanyabiara hamtaki kulipa kodi!
nchi itaendaje??
[/QUOTE]

Wakachukue za epa na escro zinatosha sana kuendesha nchi hii
 
Kuna watu hapa wanapenda kujadili vitu wasivyovijua na ndo hawa wanaoipotosha serikali juu ya matatizo,ya wafanyabiashara,wafanyabiashara hawagomi kulipa kodi na wala hawajawahi kugoma,kinachogomewa Ni mfumo WA kodi ikiyopanda kwa asilinia100,PIA mfumo mzima za machine za efd,matatizobya hizo machine,gharama za ununuzi wake na hata nguvu inayotumika kuwalazimisha wafanyabiashara juu ya kuzinunua hizo machine bila kutoa elimu juu ya hizo efds
 
achaneni na majungu biashara ni yako suala la kuanza kukusanyana na kutaka kugoma is a rubbissh kama unaona biashara hailipi close your shop na kafanye mambo mengine yatakayokufaisha kuliko kutuletea vurugu. mkitaka kuona mnafanya ujinga acheni vibanda vyenu uone watanzania wengine watiifu watalipa kodi na kufanya biashara kwa uaminifu na uadilifu. tumechoka tunataka tusikie creative idea za kimaendeleo. my brother if u cant do others will, give us the facillities including premises we will, we are tired of you!!!! shame on you!!!

Umelogwa wewe sio mzima, unaishi wapi? Nchi inaliwa wewe unashabikia ujinga...
 
Hata mimi sitafungua duka langu ntaungana na wenzengu mpaka dodoma hatuwezi kuendelea kuvumilia ubabe wa serikali ya ccm kwa wafanyabiashara wakubwa kama sisi
 
Nani Kakwambia hawataki lipa kodi? Kabla ila comment elewa kitu! K.uma we

UOTE=STDVII;11878981]huu ni upumbavu wa hali ya juu wafanyabiara hamtaki kulipa kodi!
nchi itaendaje??
[/QUOTE]

Tumieni zile mlizoiba za escrow kwanza
 
wakuu ikifika October mwaka huu mafisadi walioleta zile mashine za efd wajiandae kuzipika tu supu maana hakuna wa kuzinunua watu wana elimu ya urai

Tutazichoma moto zote zile ni ajira za makada wa ccm
 
Back
Top Bottom