MLIPAKODI
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 234
- 90
- Thread starter
- #21
Huyu si ni mwenyekiti wa wafanyabiashara Kariakoo,sasa kwanini nchi nzima tugome?wagome hao hao wa Kariakoo
Ni mwenyekiri wa wafanyabiashara tanzania nzima. Kama hukujua tambua hilo na ni mtetezi mkuu wa wafanyabuashara wafanyabiashara kuona umuhimu wa huyu bwana ndio maana wanahamasishana kufunga biashara siku ya kesi yake ambayo ni kesho.