Sunshow
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 1,140
- 395
Hivi kwa nini mfanya biashara atumie mtaji wake kununua mashine? Huwa sielewi. Hajaomba hiyo mashine. Mwenye shida nayo ni TRA, inamlazimisha mfanyabiashara aisaidie kununua! TRA kama mnawalazimasha wafanya biashara kwakopesha hizo mashine, zinunueni toka kwao kwa riba ambayo wafanyabiashara wataamua ninginevyo nunua mashine za kwenu na sambaza nchi nzima muhowahold responsible kwa kutozitumia. Ubabe kwenye mitaji yao hausaidii !!!!:A S-confused1:
Well said.