Njanja
Member
- Apr 18, 2013
- 94
- 29
wafanyabiashara wanalipa kodi vizuri tu ila ninacho kiona ni kwamba wanapinga kodi kandamizi. Ambazo hazita muadhiri sana mfanyabiashara kwani yeye atapandisha bei na ataye adhirika zaidi na hili ni mlaji wa mwisho ambaye ni ww na mm na ndugu zetu ambao wapo kijijini huko
mfumo wa efd unatumika nchi nyingi duniani...unayeona kodi kandamizi hujui mfumo wa kidunia unavyofanya kazi.