Mgomo wa wafanyabiashara nchi nzima kesho

Mgomo wa wafanyabiashara nchi nzima kesho

Dunia iko speed haisimami. Efd ikatae leo ila kesho utaitumia, haijalishi itakua ni ccm ileile, chadema, cuf au ukawa. Mambo mengine ni kama sera za Dunia zinazoratibiwa na vyama vya siri. Hivyo yakupasa usiziangalie kwa mtizamo finyu wa ki-nchi bali toka nje ya box mambo mengine yapo Kidunia zaidi.
Ni sawa na kukataa ushoga leo alafu ukaja kuukubali kesho.. Mseveni shahidi. Ile sheria kali ya kuwaadhibu mashoga muulize kaipotezea wapi.

Hii Dunia inaongozwa kwa fact sio pelepele za kariakoo kwa wapemba. Kuna mambo mengi yanafanyika kila siku hapa Duniani kwa mwanadamu wa kawaida huwezi kuyaona.
 
Mkuu umesahau na misamaha ya kodi kwa mwaka ni shilingi Trilioni 1.8 wanaofaidika ni Vingunge Serikali wakiwemo Wabunge. Kama katika nchi tajiri kama US Rais analipa kodi kwanini Rais na Waziri Mkuu nao wakatozwa kodi ili kuongeza ukusanywaji wa kodi badala ya kuwakandamiza wafanya biashara na walaji tu miaka nenda miaka rudi?

Kodi za gesi na madini kama dhahabu,tanzanite,almas na mengine mengi hatujawai ambiwA zimeingizia nchi faida ,hakuna uwazi ktka mambo hayo yenye utajiri wa nchi yetu.leo serkari wanaacha kuangalia vianzo hvo,wanabaki kulazmisha wafanyabiashara knunua efd, viongozi wa nchi nyngi africa ni majuha ,sio wabunifu hata kidogo, mbona china hakuna efd lakini nch inatajirika sana,...serkari weka mapato ya resource alizotupa Mungu tukiridhika ndy mutushawishi efd ni nini na ina manufaa gani!
 
Wafanyabiashara hawakatai efd bali wanakataa mfumo wa efd. Efd inakata kodi kutoka kwenye mauzo haiangalii umepata faida kiasi gan. Efd haiingizai matumizi, kodi inatakiwa ikatwe kwenye faida na sio mauzo. Sasa hivi wafanyabiashara wanaambiwa walipe mapato mara mbili ya yale waliolipa mwaka jana. Wanatumia vigezo gani kupandisha mapato kiasi hicho? Huu ni unyonyaji kwa watz na sio kwa mfanyabiashara tu. Mlaji wa mwisho ndiye anaeumia zaidi kwa hiyo hili swala linamgusa kila mtz
Mkuu MLIPAKODI tatizo naliona kwenye ukokotoji wa bei! Kama mfanyabiashara atapiga hesabu zake vizuri kwa kukokotoa gharama za mauzo na kuweka faida yake basi linabaki suala la kuongeza 18% ya VAT yao.
Sijaona tatizo kwa serikali isipokuwa wafanyabiashara ni vichwa ngumu tu.
Ningekuwa mimi serikali ningefuta leseni zote tuone.
Mfanyabiashara si msemaji wa mlaji anatakiwa kutimiza wajibu wake tu! Mlaji atalalamika kivyake
 
Last edited by a moderator:
Msamaha wa kodi ni sababu ama kasoro ya kisheria ambayo inatumika vibaya, ila si sababu ama utetezi wa wafanyabiashara kuacha kufuata sheria na kanuni za kodi na wajibu wao kulipa kodi!

Mkuu umesahau na misamaha ya kodi kwa mwaka ni shilingi Trilioni 1.8 wanaofaidika ni Vingunge Serikali wakiwemo Wabunge. Kama katika nchi tajiri kama US Rais analipa kodi kwanini Rais na Waziri Mkuu nao wakatozwa kodi ili kuongeza ukusanywaji wa kodi badala ya kuwakandamiza wafanya biashara na walaji tu miaka nenda miaka rudi?
 
Mkuu MLIPAKODI tatizo naliona kwenye ukokotoji wa bei! Kama mfanyabiashara atapiga hesabu zake vizuri kwa kukokotoa gharama za mauzo na kuweka faida yake basi linabaki suala la kuongeza 18% ya VAT yao.
Sijaona tatizo kwa serikali isipokuwa wafanyabiashara ni vichwa ngumu tu.
Ningekuwa mimi serikali ningefuta leseni zote tuone.
Mfanyabiashara si msemaji wa mlaji anatakiwa kutimiza wajibu wake tu! Mlaji atalalamika kivyake

Kumbuka kuna swala la biashara huria kila mfanya biashara anauhuru wa kupnga bei yake. Kikubwa hapo hiyo mashine ingekuwa inarekodi manunuzi, mauzo, inaingiza matumizi, iwena uwezo wa ku edit ukikosea then ionyeshe faida ya siku, mwezi then mwaka ili ikifika mwisho wa mwaka tra watakwenda kuangalia faida uliyo pata baada ya kutoa na matumizi then wCalculate kodi kwenye hiyo faida
 
Labda nashindwa kuelewa jambo dogo,kwamba hivi hizi bei tunazonunua bidhaa madukani - huwa hazina faida,gharama ya manunuzi,storage,usafiri,pango,etc?
Jambo la pill, hivi kodi inayolalamikiwa na wafanyabiashara ni ipi? VAT? Au gani?
 
Mkuu MLIPAKODI tatizo naliona kwenye ukokotoji wa bei! Kama mfanyabiashara atapiga hesabu zake vizuri kwa kukokotoa gharama za mauzo na kuweka faida yake basi linabaki suala la kuongeza 18% ya VAT yao.
Sijaona tatizo kwa serikali isipokuwa wafanyabiashara ni vichwa ngumu tu.
Ningekuwa mimi serikali ningefuta leseni zote tuone.
Mfanyabiashara si msemaji wa mlaji anatakiwa kutimiza wajibu wake tu! Mlaji atalalamika kivyake

kumbe unabisha tu huelewi, umeambiwq efd zinapiga hesabu yq mauzo bila hata ya kutoa gharama. kama unauza jinz tsh 18000 basi yenyewe inakata asilimia 18 ya hiyo hela,sasa hapo gharama gani imetoka
 
Last edited by a moderator:
humu kuna watu wanabisha ilimradi tu hata vibanda vya kufuga kuku hawana
 
Labda nashindwa kuelewa jambo dogo,kwamba hivi hizi bei tunazonunua bidhaa madukani - huwa hazina faida,gharama ya manunuzi,storage,usafiri,pango,etc?
Jambo la pill, hivi kodi inayolalamikiwa na wafanyabiashara ni ipi? VAT? Au gani?

Hapo ni vat ndio knayolalamikiwa kwani ukinunua mashine moka kwa moka unakuwa umejiunga na vat. Bei unayo nunua kitu inakuwa na faida ila maduka mengi sasahivi faida zake ni ndogo unakuta kitu imenunua 46500 then unauza 47000 faida 500 ikija kwenye vat wanakata 18% ya 47000 baada ya kupiga 18% ya 500. Na hiyo bidhaa kwenye faida ya 500 kuna gharama zote za transport, pango, store mfanyakazi etc kama mzunguko unakiwa mzuri kwa siku unapata faida kiasi ya kuendesha maisha. Kwa hiyo wafanya biashara wanataka kodi ikatwe kwenye faida na sio mauzo. Waki calculate kwenye mauzo wanakula na mtaji wako at the end hutaweza kuendesha biashara utagunga
 
Kumbuka kuna swala la biashara huria kila mfanya biashara anauhuru wa kupnga bei yake. Kikubwa hapo hiyo mashine ingekuwa inarekodi manunuzi, mauzo, inaingiza matumizi, iwena uwezo wa ku edit ukikosea then ionyeshe faida ya siku, mwezi then mwaka ili ikifika mwisho wa mwaka tra watakwenda kuangalia faida uliyo pata baada ya kutoa na matumizi then wCalculate kodi kwenye

MLIPAKODI KAA KIMYA KAMA HUELEWI MFUMO WA EFD UNAVYOFANYA KAZI. NA UJUE WAZI KUWA KODI SIO VAT TU.
Napita tu lakini
 
kumbe unabisha tu huelewi, umeambiwq efd zinapiga hesabu yq mauzo bila hata ya kutoa gharama. kama unauza jinz tsh 18000 basi yenyewe inakata asilimia 18 ya hiyo hela,sasa hapo gharama gani imetoka
Hapa tunaelimishana, au wewe unafahamu kila kitu?
 
hapo mkuu umekoseaa kama kitu hujui ni mara mia ukakaa kimya. kinachopingwa sio kodi tena kwa taarifa yako wengi tunazitaka hizo mashine sabab zaman tulikuwa tunapigwa sana. kinachopingwa ni kulazimishwa kuzinunua kwa bei kubwa kuliko kiwango. fikiria mashine moja zinafika mpaka million na hamna alternative nyingine mpaka kwa aagent wao. hizi mashine za muundo huohuo wa tra dubai tena rejareja zinafika mpaka usd 80, iweje hao maagent ambao wanachulia viwandan wapandishe bei mara mia. kama ni hivo wale wanaonunua mabasi ya mpaka mil 600 wawachie nao wajipangie bei.
wanasema mashine watakuwa wanazifanyia servive, mashine yangu baada ya kufanya kazi kwa mwezi mmoja tu imeloga ukimpigia ajent mwezi wa pili haonekani na hapo tra wakija hawana masiala, je ndio haki hiyo? ok makampuni ya madini yanapewa misamaha na yanaingiza mabilion mbona mtanzania anayenuna basi kwa gharama kubwa ya mamilion tena kwa dhumun la kusaidia directly wazawa hapewi msamaha. vitu vingine msiwe mnalopoka tu kwa sabab nyie mmeshindwa kutetea kukatwa mishahara yenu inabid mjifunze kulazimisha. leo hii mmewaachia manyang'au yawaibie na tukija mitandaoni mnaponda. kinachouma zaid inakuwa watu toka mataifa mengine wameanza kulikimbia soko la tz sabab ya bei kubwa ya vitu inayotakana na usumbuf mwingi sana bandarini, leo mchina anapittisha kiulain contena lakin jaribu wewe kupitisha uone kero yako.agiza gari tu ndugu mfano labda mazda biante ambalo ni dhamani sawa na voxy uone kodi utayopigwa kwa sabab hata kwenye calculator yao haipo. hamjiulizi mtu kidogo amehamishiwa bandarini mara mwanae anamilik ghorofa
tupe ushahidi haoa mashine hiyo ya EFD Dubai ni $80 tusiandikie mate hapa...
 
achaneni na majungu biashara ni yako suala la kuanza kukusanyana na kutaka kugoma is a rubbissh kama unaona biashara hailipi close your shop na kafanye mambo mengine yatakayokufaisha kuliko kutuletea vurugu. mkitaka kuona mnafanya ujinga acheni vibanda vyenu uone watanzania wengine watiifu watalipa kodi na kufanya biashara kwa uaminifu na uadilifu. tumechoka tunataka tusikie creative idea za kimaendeleo. my brother if u cant do others will, give us the facillities including premises we will, we are tired of you!!!! shame on you!!!

Very pure thinking about your comment. Shame on U.
 
"Serikali yoyote CORRUPT haikusanyi kodi kubwa itakimbizana na wafanyabiashara wadogo wadogo barabarani" -J K. Nyerere
 
huu ni upumbavu wa hali ya juu yaani wafanyabiara hamtaki kulipa kodi!
nchi itaendaje??

Sikiliza ndugu yangu,serikali imepandisha kodi kwa %100. Mimi binafsi mwaka jana kwenye biashara yangu nililipa kodi ya sh.500000/-kwa mwaka,mwaka huu nimeenda TRA nimeambiwa kodi ni sh 1000000 /-imagine ni wewe ungefanyaje?
 
kufanya biashara kwa mazoea kunatakiwa kusitishwa kwa nguvu zote na serikali lazma ihakikishe wanalipa kodi

Kama hawalipi kodi nchi inajiendesha je? Wafanyabishara wanalipa kodi tena kubwa,, kama hujui kinachofanya wafunge maduka yao kaa kmya...
 
Zamani nilisikia mzunguko wa milioni14 ndio unatakiwa upate mashine lakini hapa umeanndika milioni20. Kiufupi huu ni mzunguko wa chini sana kwa mwaka na itabidi hata wauza magenge na pweza wawe wanatumia hizi mashine.

Ni nchi ya majuha, ukusanyaji kodi ni sample sana kama seikal inajipanga vizur:
Kwa mfano unapoanza biashara unatakiwa uwe na PIN hii ndio inayokutambulisha ulipaji wako wa kodi kama serikali itawaamulia wafanyabiashara wote wa Nguo kodi yao ni moja tuu ambao wabauza rejareja na hii unatakiwa uambiwe pale ukienda kuchukua tin no.

Mfano huo utolewe na kwa wafanyabiara wote wengine tofauti bila ya kuvutana kama nchi nyingine. .

Ni TIN sio PIN.
 
Back
Top Bottom