Mgomo wa wabunge hasa wa CCM

Umesema kweli. Ni aibu tupu bunge kuwa wazi hata wakati huu wa bajeti-hatumwelewi spika kuona kama ni hali ya kawaida, anaongoza viti au watu? Kuwe na utaratibu wa kuhudhuria na kuendelea kuwepo kikaoni mpaka mwisho. Spika analinda maslahi ya chama chake na kusahahu kuwa anaongoza mhimili mwingine wa dola. POLE BINT Makinda
 
mangifera source please !!!!

Sio kwa wewe tumeanza kupata habari baadaye zinakuwa sio za kweli na wana jamii wanazijadili

hii inashushia hadhi jamii forums
 
Last edited by a moderator:
ni wanafki hamna lolote,kama wameshindwa kutoa challenges live bungeni unadhani mgomo utasaidia kitu?wakiambiwa waliogoma wasaini majina yao utaona hasaini hata moja
 
mangifera source please !!!!

Sio kwa wewe tumeanza kupata habari baadaye zinakuwa sio za kweli na wana jamii wanazijadili

hii inashushia hadhi jamii forums
. Habari hizi zina ukweli mkubwa ndani yake. Na leo limetolewa tamko bungeni kuwa mmbunge yeyote hapaswi kuondoka bungeni bila ruhusa ya spika na waziri bila ruhusa ya W.Mkuu!
 
Back
Top Bottom