Mgomo wa Simu Utafeli...

Kwanza wamuulize Mwanakijiji huko Marekani kodi zake zote watu wanakubaliana nazo? Je, wamegoma kuzilipa kwa njia za kihuni kama hii inayohamasisha yeye?

Senate na Congress kazi yake nini?

hana jibu labda tusi
 
hivi we utaelimika lini? Unawezaje kuambiwa huku unaona? Kwn nani asiyejua kuwa huu ni mpango wa wizi wa kampen ya CCM 2015?

we uliye elimika mbona umeshikwa maskio kama mbuzi wa kafara na mwanakijiji mwenzako.
 

.....ha ha ha kuna punda wengi sana!!!!
 
Mzee mwanakijiji ni mwiba mchungu sana kwa magamba.
 
Huyu jamaa sijui kwanini anaichukia Tazania kiasi hicho. Hajawahi kuhamasisha anything positive, yeye kila siku ni kuhamasisha migomo, vurugu, maandamano na vita...
Mkuu ZeMarcopolo naheshimu sana mchango wako katika forum lakini leo naomba nikusahihishe kidogo sio kukupinga.
Ni waTanzania wangapi wana access ya ya internet. Nazungumza kwa wale waishio ndani ya Tanzania nao ni wale waishio mijini na vijijini. Mzee Mwanakijiji sio anahamasisha migomo vurugu ni namna ya kuleta mabadiliko katika nchi yetu. Sote tunaipenda Tanzania lakini viongozi wetu wamejisahau na ndio maana Tanzania ipo ilipo.. Migomo vurugu na maandamano ni njia mojawapo ya kupaaza sauti na umma kama sio ulimwengu ukasikia kilio cha wananchi. WaTanzania wengi ni waoga kueleza mawazo yao kwa mdomo lakini maandamano ni njia mojawapo ya mtu kujieleza. Leo makampuni ya simu Tanzania yanataka kuficha ukweli baina yake na serikali.. hawalipi KODI wanataka wananchi ndio wawalipie kodi yao kwa mpango upi na kwa nini.. Wakati mwingine huu ushabiki USIO NA TIJA KWA TAIFA KWA SABABU YA TOFAUTI ZETU KISIASA TUACHE na tuwe 'REAL' Ufisadi ndio unaiongoza Tanzania left right and centre.Kujikomboa kutoka katika mikono ya mafisadi njia mojawapo ni hizi migomo na maandamano ya amani ni hilo tu!
 
Taarifa kutoka mkoa wa Ruvuma mjini Songea zinasema hawawezi kuzima simu kwa kushawishiwa na mtu ambaye hata jina alilopewa na wazazi wake anaona aibu kulitaja...
 

You are right about maandamano, lakini unapomuona mtanzania mwenzako kila siku yeye ni mwenye kuhamasisha vurugu tu, hakuna siku hata moja anayokumbuka kuhamasisha jambo jema, ni LAZIMA kuwa makini nae. Na hii ni kuanzia katika ngazi ya familia, wapo watu kwenye familia kila wakifungua kinywa ni kuchochea vurugu tu. Watu hao ndio kama Mwanakijiji...
 
Kwa kiasi fulani nakubaliana na wewe. Sidhani kama Mzee Mwanakijiji ana nia mbaya na taifa lake isipo keyboard haiwezi kuleta mabadiliko ni wote kujumuika na kama ni maandamano tunaona ni suluhu basi tuache keyboard tukaandamane nasi pia huo utakuwa uzalendo. Hata kama ni nje ya nchi basi na maandamano yawepo kujenga huo umoja. Kwa kiasi fulani nakubaliana na wewe kwamba kuliko kuhimiza kwa njia ya mitandao basi tutende kwa vitendo sio kuwasukumia wengine wakati sisi kutwa nzima tupo kwa keyboard hii ni mimi wewe Mzee Mwanakijiji na wale wote wanaoitakia mema taifa la Tanzania.
 
Viongozi wengi waliozifikisha nchi zao mbali kimaendeleo....wanatuhuma nyingi hasa za mauaji na udikteta!
Hii hainizuii kuzungumza mambo mazuri ambayo aliyafanya..
"TATIZO LENU NYINYI MNACHUKUA YALIYO MABAYA" by Julius Nyerere.

Taja hayo mazuri kama unayo tuyachambuwe.
 

Kama Mzee Mwanakijiji anaweza kuwa na ushawishi mkubwa kiasi hiko,tena akiwa nje ya nchi,basi kilichobaki ni wewe kumtunuku Mkeo
 
Last edited by a moderator:
Mimi nasema. Kama hauna 1000 moja kwa mwezi si zima tu simu moja kwa moja. Utawahi?
We si unajifanya fyatu zima milele halafu tupa na laini kabisa uikomoe mamlaka.

yaani mna makusudi nyie? kule kujua tu kwamba ni mgomo wa dakika sitini baaasi--hapohapo; mgomo umeshindwa! watu wanagoma kila siku mbona.... mi leo niligoma masaa saba. mnaliona dogo hilo ee?
 
Huyu mwanakijiji asifikiri wabongo huku wanafanya kazi ya kuosha vyombo kama wao wafanyavyo us wamekimbia tz kutafuta maisha mteremko huku watu tuna akili zetu bana hatudanganyiki tutapiga simu hatuzimi simu na tunataka vifurushi vipigwe marufuku tuweke na kutumia vocha kama zamani bongo maisha mazuri buku unaishi kwa siku us mtafutano na tunajua wengi wanatafuta nauli za kurudi bongo maisha yalivyowagonga huko mnahaha tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…