We Boya haujui ukweli hauna uhalali wa kuandika umbea wako Marehemu Mwangosi hakuawa kwenye maandamano,mbona mnaandika vitu msivyokuwa na uhakika navyo ili umfurahishe nani kama si ujinga?
Mwangosi aliuawa wakiwa kijiji cha Nyololo kifungua tawi la Chadema baba yenu mnaandika umbea wakati nyie ndio mliowatuma Policcm kumumwangosi? Wauaji wakubwa nyie
Mkuu mbona povu wakati wewe mwenyewe hujui kitu. Mimi ni mkazi wa Nyololo stendi hizi porojo zenu pelekeni huko. Kwa kifupi wanasiasa ni watu wabaya sana, hupenda kujitazama wao tu. Kwanini wafuasi ndiyo wanakufa?
Hatuzimi na kama anavyoshawishi yeye wazime na sisi tuna shawishi wasizime na nna uhakika tutashinda. Nani umfungie biashara zake kwa kishilingi elfu moja kwa mwezi?
Tuone kama kesho hamtaingia humu JF, halafu mtuambie mnatumia nini kuingia humu.
Waulize wenye jukumu la kuwalinda....na baadae waulize walioamua kumuua Mwangosi!
Kuishi karibu na mahakama sio kujua sheria.
Wengine biashara zao zote zinategemea simu, wakizima simu hiyo hasra watakayopata ni zaidi ya kulipa hivyo vikodi vya shilling 1000 kwa miaka 20 ijayo.
Huyu Mzee Mwanakijiji haitakii mema nchi hii. Nchi ilimshinda kwa uvivu wake akakimbilia USA anakula pesa za ulemavu asiokuwa nao.
mimi leo nilizima simu kwa masaa saba. nini saa moja bana....
Kwanini usizime moja kwa moja?
Kwanini usizime moja kwa moja?
Hatuzimi na kama anavyoshawishi yeye wazime na sisi tuna shawishi wasizime na nna uhakika tutashinda. Nani umfungie biashara zake kwa kishilingi elfu moja kwa mwezi?
Tuone kama kesho hamtaingia humu JF, halafu mtuambie mnatumia nini kuingia humu.
We si unajifanya fyatu zima milele halafu tupa na laini kabisa uikomoe mamlaka.nani kasema zizimwe moja kwa moja?
nani kasema zizimwe moja kwa moja?
"You cant say you have freedom,if others are oppressed" by Julius Nyerere!
Kwa komenti yako hii inadhihirisha Tanzania sio nchi ya kijamaa...undugu wetu umekufa....no fellow-feeling heart anymore!
Mwanakijiji mjinga sana yeye anafanya vibarua huko marekani na kuwa kibaraka wa wazungu wala hana lolote.
Mwanakijiji anazeeka vibaya.. hakuna mtanzania atakayezima simu.. wataongea kishabiki tu humu JF
Mwanakijiji anazeeka vibaya.. hakuna mtanzania atakayezima simu.. wataongea kishabiki tu humu JF