Magari yanatembea stendi au barabarani ?Mbona hiyo siyo stendi ni barabara!
Mbona hiyo siyo stendi ni barabara!
chanzo nini, mleta mada haja eleza .Tutaelewana tu.
Duuh noma sana.Tutaelewana tuu
Malori ni ya serikali?Tatizo la mikataba kwa madereva lipo muda mrefu kwa Nini lisitatuliwe... Na serikali kuweka usimamizi ktk Hiyo changamoto...
Wanahujumu uchumi hao, wenzao wa mabasi dsm walichimbwa mkwara kimia
Mbeya sio bangi, ila wanajielewa. Kama CCM ingekuwa na uwezo wa kuwahoji polisi kutokana na udhalimu wanaowafanyia raia wasio na hatia, na kuwachukulia hatua , Basi tusingefika hapaMbeya bangi tupu
Huwa yanaungana kama mabehewa ya treni hayo mabasi na malori?Magari yanatembea stendi au barabarani ?
Acha wagome hata miaka mitano, siku njaa zikiwauma watarudi barabarani tu hii mitano haina rahaShida huu mgomo utachipukia kila sehemu... Na mwisho wake haujulikani lini...