Mgomo wa madaktari portugal

Mgomo wa madaktari portugal

soni

Member
Joined
May 24, 2010
Posts
18
Reaction score
4
Siku chache zilizopita kumetokea mgomo wa madaktari huko nchini Portugal nakusababisha kusitishwa kwa huduma muhimu kama za upasuaji. Jambo ambalo hapa kwetu Tanzania limetokea na kuibua gumzo kubwa ikionekana ni kitendo cha kinyama. Fatilia zaidi kwenye hii link hapa chini

Portugal: Operations cancelled as medical staff strike

Niwieniradhi kama ilishapostiwa humu ndani...
 
Back
Top Bottom