Acha kukurupuka na hoja nziiito ukapanda presha bure, una ugeni na Malaria Sugu? Kapigwa ban juzi hapa sasa msioweza kumtambua kwa maneno yake mtachangia mada hasaaaa. Ukitafakari utabaini kuwa mtu ukipita nje ya kanisa huwezi kujua kama anayehubiri ndani ni ASKOFU, PAROKO au PADRE. Usiwe mwepesi hivyo kukamatwa na huyu juha
Haahaaa! Askofu asiye na jina wala kanisa must be a fictious askofu.
Leo asubuhi nilipita karibu na kanisa lilipo karibu kabisa na bandari ya Dar.
Askofu ambae akiongoza misa hiyo aliwashtumu sana madaktari wale wanagoma, alisema si vyema kugoma huku wananchi wakitabika. alidai Taaluma ya Utabibu ni huruma zaidi badala ya kipato na anasa. aliwalaumu zaidi hasa wale wa Hospitali za dini.
alisema ni vigumu kuamini hawa madaktari waliozaliwa katika ukiristo,kukulia na kulelewa katika ukiristo leo wanaingia kwenye mtego huu wa hospitali za umma na alidai sijui wana ajenda gani na binaadamu wenziwao.
alidai serekali inatoa fedha nyingi kwa taasisi hizi kupitia MOU lkn leo hii wanagoma kushindika kulipwa mishahara mikubwa.
aliomba Serekali kuwachulia hatua kali madaktari wote waliokuwa chanzo cha mgomo