Mgomo wa Madaktari (Leo): Kiburi cha Blandina Nyoni

wandugu ee hiVi kama kila mtu ata claim kima cha chini kiwe 3.5 tutafika?hawa madaktari nao wamezidi jamani dUuh

nakumbuka nilipokuwa med school kuna kijana wa ki Mauritius alipata TB kutoka kwa mgonjwa.....!! madactari wana risk vitu vingi sana even though mnadai ni wito...
 
mimi ni daktari amana hospital,nadhani sisi madaktari tudai haki zetu lakini tukumbuke kuwa kuna watumishi wengine mfano walim,nao wanaitegemea serikali kwa serikali itupe haki zetu lakini madokta pia tuwe fair.
 
mimi ni daktari amana hospital,nadhani sisi madaktari tudai haki zetu lakini tukumbuke kuwa kuna watumishi wengine mfano walim,nao wanaitegemea serikali kwa serikali itupe haki zetu lakini madokta pia tuwe fair.

Hivi kweli wawe fair kuwasemea Walimu? Kuwasemea Manesi? Kuwasemea Mabwana Shamba? Kuwasemea Watendaji wa Vijiji? Kuwasemea wafanyakazi wa mashamba ya mkonge? Kuwasemea wafanyakazi wa Bandari? au wafanyakazi wa Reli?....

Hebu tumia kichwa chako na ujiulize kwanini TAA ilikufa, ikafuata NUTA then JUWATA na baada ya hapo ukaja utitiri wa mara TUGHE, HUKU TUCTA, KULE TAMICO, Walimu nao CWT... etc, Imekuwa kama vi Saccos fulani vile, Sipendi kuwa Mnafiki lakini NUTA/JUWATA ilivunjwa makusudi ili mambo haya ya kunyanyasa wafanyakazi yatokee bila utata, kesho siwezi shangaa Madaktari wakiongezwa kiduchu then wakakaa kimya bila kukumbuka kuwa kaka/dada zao walimu wananyanyaswa na serikali hiyohiyo,

MWALIMU NYERERE ALISEMA UMOJA NI NGUVU (Wapi umoja wa wafanyakazi wa Tanzania?)
 
mimi ni daktari amana hospital,nadhani sisi madaktari tudai haki zetu lakini tukumbuke kuwa kuna watumishi wengine mfano walim,nao wanaitegemea serikali kwa serikali itupe haki zetu lakini madokta pia tuwe fair.
nyie ndo madaktari wapya kama 12 hivi mliopelekwa ilala wakati kuna sehemu kama longido,tandahimba hakuna madaktari.is this what you call fairness?wale wa tandahimba watahudumiwa na nani?halafu nina wasiwasi kama wewe ni daktari kwa sababu hujui wanachokidai.hovyo sana!!
 
madaktari ni watumishi wa kswaida tu lazima wafate sheria na wajue maslahi siyo suruhisho la maisha bora.
 
nyie ndo madaktari wapya kama 12 hivi mliopelekwa ilala wakati kuna sehemu kama longido,tandahimba hakuna madaktari.is this what you call fairness?wale wa tandahimba watahudumiwa na nani?halafu nina wasiwasi kama wewe ni daktari kwa sababu hujui wanachokidai.hovyo sana!!

najua sana tunachodai ni ishu ya pesa za wale intern pamoja na stahiki zingine za kwetu.lakini hoja yangu ni tamko la mbunge kigwangala kwamba kima cha chini kiwe 3.5m je inawezekana au ana malaria huyu.
 
mimi ni daktari amana hospital,nadhani sisi madaktari tudai haki zetu lakini tukumbuke kuwa kuna watumishi wengine mfano walim,nao wanaitegemea serikali kwa serikali itupe haki zetu lakini madokta pia tuwe fair.
Jibu lako kalitoa KM PM jana, ila wacha kututania wewe utakuwa mlinzi wa geti kuu! Kama peanuts mnazozipokea kwa kuwa zamu 36hrs wewe unazishangilia, nakushauri uende mirembe kwa check up ya kichwa kabla hujalazwa moi kwa operesheni ya uvimbe wa kichwa. Nyie ndo masaburi mnaosababisha huu mgogoro usiishe, sijui mnalipwa kiasi gani kuwasaliti wenzenu #%@#&!@%#4
 
najua sana tunachodai ni ishu ya pesa za wale intern pamoja na stahiki zingine za kwetu.lakini hoja yangu ni tamko la mbunge kigwangala kwamba kima cha chini kiwe 3.5m je inawezekana au ana malaria huyu.
kwani wale interns
hawajalipwa?wewe unataka aseme sh ngapi.kama kuna watu wanaona haiwezekani wakae pembeni wawaachie wanaoweza
 
kwani wale interns
hawajalipwa?wewe unataka aseme sh ngapi.kama kuna watu wanaona haiwezekani wakae pembeni wawaachie wanaoweza
jack,hebu tusiishi katika dunia ya kufikirika.turudi ktk ukweli na uhalisia ili tuisaidie nchi.tupunguze jazba
 
Jibu lako kalitoa KM PM jana, ila wacha kututania wewe utakuwa mlinzi wa geti kuu! Kama peanuts mnazozipokea kwa kuwa zamu 36hrs wewe unazishangilia, nakushauri uende mirembe kwa check up ya kichwa kabla hujalazwa moi kwa operesheni ya uvimbe wa kichwa. Nyie ndo masaburi mnaosababisha huu mgogoro usiishe, sijui mnalipwa kiasi gani kuwasaliti wenzenu #%@#&!@%#4

masaburi yanakuwasha wewe.tena kaa kimya kabisa mana inaonekana uko ICU kitengo cha magonjwa ya akili.
 
ndo assumption za kitoto hizo sasa!? kwan yule jamaa aliyepost kuwa kaitwa kazini usiku alikwambia ni dereva wa huyo mama!? au ndo akili imefika mwisho unajaribu kuokoa jahazi!? weka hoja za msingi acha mambo ya fb humu.

Kwani Jamaa alikwambia anafanya kazi gani Wizarani?
 

Watu wenye akili kama hizi ndio mnaotulazimisha kwamba Magufuli anafaa kuwa Rais. Blandina Nyoni anakaa Ofisini hadi Usiku kwa ajili ya kupokea 10% percent ya wazabuni na kufanya mazungumzo na baadhi yao jinsi ya kuchora michoro ya uhujumu uchumi.

Kwa taarifia yako Mama huyu ameeibia Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Shilingi Billion 1.3 mwaka 2010/2011 kwa kupitisha ununuzi wa ving'amuzi vya magari through comanding single source procurement kwa kampuni iliyosajiliwa Israel na ambayo ina uhusiano kati yake na Luhanjo. Na kama unataka tumwage data zaidi za Ufisadi za huyu Mama ntaziweka hapa nikiendelea kuwasiliana na Watumishi wa pale Afya.
Kwa nn usipeleke hizo data Takukuru kama ni kweli. Au ndo data maji taka.
 
Wewe huelewi hata maana ya intern ni nini, na kama ni intern hujui uko wapi wala wajibu wako ni nini. Daktari anafundishwa miaka 5, yule asiye na uwepo anachujwa mapemaa wanabaki wale wenye uwezo na fani husika. By the time anagraduate, daktari huyu ana skills na knowledge za kutosha, kilichobaki ni kumpa exposure ya kazi with MINIMUM SUPERVISION, marudia kwa kiswahili, na usimamizi mdogo. Lengo ni kumjengea uwezo wa kujiamini kufanya kazi na maamuzi pasipo kusimamiwa, anapoona anashindwa ndio hapo senior anamsaidia kidogo, na imani ni kuwa hatarudia kuuliza kitu hicho tena. Hiyo ndio maana ya internship. Waende vijijini humo hamna umeme na operation zinafanyika kwa mwanga wa vibatari ndio watajifunza vizuri kufanya kazi na kutoa maamuzi in real world, sio kusema ati wapo mafunzoni. Mafunzo yalishakwisha, sasa ni wakati wa kufanya kazi, sio kulialia oooh Muhimbili ndio penye specialists, kwani si waliwafundisha mkiwa wanafunzi.

Nakupa 5 Mkuu, ni facts tupu ulizotupa hapo juu. Daktari anapomaliza miaka 5 ni daktari kweli kweli, kinachopungua tu, ni mafunzo kwa vitendo ambapo kutokana na skills walizopata katika miaka 5, mafunzo hayo kwa vitendo unaweza kusimamiwa ata na Assistant Medical Officer na ukaja ukawa daktari wa maskills ya kufa mtu ata baada ya wiki 2 tu. Na kwa kwa taarifa yako, wadaktari waliofanya Internship katika hospitali za Wilaya wanakuwa wakali sana na wenye maskills ya kufa mtu kuliko hao Interns wa muhimbili waulize madaktari watakuambia. Huu ndo ukweli mtupu, na ndo maana Serikali iliwatawanya maana walikuwa wanapiga stori tu pale Muhimbili kwa kuwa walikuwa wengi alafu walikuwa wanaagalia tu, baada ya kufanya kazi za mikono, yaani wanakuwa kana kwamba wapo Chuoni (Medical student).
 
Wewe ndio usiyejua unachoongea, unalinganisha Tanzania na Marekani, huh! pole. Nchi zote zilizoendelea kila chuo cha udaktari kina teaching hospital. Wilayani kuna madaktari wanaoweza kutoa supervsion, nendeni huko mkafanye kazi, sio mpige kelele za kukaa mjini kwa kisingizio cha specialist. Kwanza hamuhitaji kusimamiwa na specialist maana mkimaliza intern mnakuwa GP-general practitioner tu. Kama ni maslahi mpo sawa, hayo mengine mnajidhalilisha tu.

Unajua mgogoro huu umeaanza baada ya Mama Nyoni kuwatawanya madaktari Bingwa 61 kutoka Muhimbili kwenda Mikoani. Sasa kama madaktari wote Bigwa wanataka kubaki Muhimbili, je huko Mikoani Watanzania maskini watatibiwa na kina nn jamani?. Serikali haiwezi kuwa inasomesha madaktari Bingwa kila mwaka alafu wakimaliza masomo yao, wote wanataka kubaki Muhimbili, hii haiwezekani kabisa na si sawa ata Watanzania waliopo nje ya Dar wana haki ya kupata huduma za madaktari hawa bingwa ambao wamesomeshwa kwa pesa za walipa kodi. Kwa hili Mama Nyoni tupo nyuma yako. Idadi ya madaktari Bingwa tanzania ni 377 haiwezekani madaktari bingwa zaidi ya 100 wawe Muhimbili pekee, hii sio sawa kabisa.
 
Mkuu Karata, kwanza nakushukuru kwa kuweka hii organogram ya wizara ya afya, sikuwa naifamu kabla na sikufanya utafiti wa kutosha. Pamoja na structure hii, inavyoonekana ni kuwa vitengo au idara kama councils, boards, commisiion, directorate of planning, internal chief audit n.k n.k wanawajibika moja kwa moja kwa katibu mkuu na idara nyingine kama curative, au emmergence prepadness zinawajibika kwa mganga mkuu kama technical personnel. Karata, shida inakuja pale wale wa juu kama councils au boards au chief accountant kuwajibika kwake, hiyo ndiyo shida, kwa nini msajili wa madaktari au wauuguzi au maabara wawajibike kwake wakati structure haisemi hivyo???, mfano wakati interns wamerudishwa wizarani, nasikia waliokuwa wanaandaa kuwapost intern ni mabaraza lakini kwa maelekezo ya cmo, why?? maana nategemea baraza la madaktari ndio linajua wapi kuna specialist na wapi panafaa kupelekea interns, na ndio maana waliwapanga huko kulingana na uwezo wa hospitali husika, lakini cmo ndio alitoa maelekezo hayo, sasa hiyo structure ina mantiki??? nifafanulie karata. Na kama tatizo ati wamekuwa wengi, kwa nini katibu mkuu aliridhia wpelekwe huko, maana naambiwa msajili wa madaktari ndiye anyempanga intern doctor sehemu husika na kumwandikia katibu mkuu, ili malipo yaweze kufanywa kwa intern husika na katika hospitali husika.

[h=1]OFFICE OF THE CHIEF MEDICAL OFFICER[/h]Objective
To coordinate health services delivery in the country.


The office of the Chief Medical Officer comprises three Divisions, one Unit as follows:-
(i) Preventive Services Division;
(ii) Curative Services Division;
(iii) Human Resources Development Division; and
(iv) Health Quality Assurance Division
 
Nakupa 5 Mkuu, ni facts tupu ulizotupa hapo juu. Daktari anapomaliza miaka 5 ni daktari kweli kweli, ninachopungua tu, ni mafunzo kwa vipendo ambapo kutokana na skills walizopata katika miaka 5, mafunzo hayo kwa vitendo unaweza kusimamiwa ata na Midical Assistant Officer na ukaja ukawa daktari wa maskills ya kufa mtu ata baada ya wiki 2 tu. Na kwa kwa taarifa yako, wadaktari waliofanya Internship katika hospitali za Wilaya wanakuwa wakali sana na wenye maskills ya kufa mtu kuliko hao Interns wa muhimbili waulize madaktari watakuambia. Huu ndo ukweli mtupu, na ndo maana Serikali iliwatawanya maana walikuwa wanapiga stori tu pale Muhimbili kwa kuwa walikuwa wengi alafu walikuwa wanaagalia tu, baada ya kufanya kazi za mikono, yaani wanakuwa kana kwamba wapo Chuoni (Medical student).

Mkuu Karata hawa madogo wanaotoka povu humu hawaelewi hata fani husika ikoje, mtu anasema ati elimu ya udaktari ni universal akimaanisha ati Teaching curricullum inafanana dunia nzima! Ukimpa nauli aende Marekani na vyeti vyake vya udaktari kutoka Tanzania, hata kushika bomba la sindano haruhusiwi sembuse kupractice. Hawa madogo hawataki kukubaliana na hali halisi hata kidogo. Intern sio mafunzoni, ni kupractice na kujenga uwezo wa kujiamini. Hao mnaowadharau sijui medical assistants wana skills na experience za hali ya juu, kwani si ndio wanaofanya kazi huko vijijini na kufanya upasuaji kama kawaida na watu wanapona vizuri tu. Mtu anasema ati wilayani hamna madaktari, si uchizi kabisa huu! Tatizo hapa ni arrogance, na haitawasaidia mtaishia kupiga mayowe tu. Nyongeza ya mshahara, posho na kuboreshwa kwa mazingira ya kazi sawa kabisa, hizo ni haki za msingi, hayo mengine ni siasa na yanawaharibia maana nzima ya harakati zenu.
 
Back
Top Bottom