Mgomo wa Madaktari (Leo): Kiburi cha Blandina Nyoni

Bongo doctors have no moral support to Tanzanians, kama mimi ningekuwa mkuu hapo wizarani I could have f.....d them all these creatures, you are doing nothing at our hospitals.

Tunawalipa hela yetu kwa kodi zetui hata hicho kidogo but once you get in their working environment utasikia mara doctor yupo wapi sijui mara njoo kesho, mwezi ujao mara....................wanapusua miguu badala ya vichwa...............mara tunawapa viongozi masaa sijui........hey! hata mtiacha kazi sawa tu hamna msaada better we die............nyie nani, what are you doing?

Better to pay good salaries those teachers down there than doing it to these creatures!

Ndugu sisi ni madktari sio mungu...i work with the limitation ya resources nilizopewa.kama hunipi vifaa unataka nivinye?mtasemaje hamna hela ya vifaa hila hela ya posho mnayo???this is unyonyaji wa hali ya juu.watanzania amkeni tudai haki zetu
 
Jamaa yuko sahihi bana! madaktari wanajiona muhimu kuliko wana taaluma wengine simply because wanatibu watu ila wafahamu kwamba kila mtu katika nafasi yake ni muhimu!  hebu fikiria wazoa takataka wakigoma, waendesha maguta, madereva woote, makonda woote, mapolisi woote, manesi, wahudumu wa mochwari, waalimu, wakulima, wabebea mizigo etc. kila mmoja akigoma kutatokea nini? madaktari acheni hizo bana! sote tuna matatizo na matatizo yenu hayazidi ya wengine! kila kitu ni siasa za maji taka tupu kuna kijana mmoja kati ya wale wanafunzi alidai udaktari sii wito ni kazi kama zingine its true wale wanaoona udaktari haulipi waaache! wasituullie ndugu zetu kwa visingizio viingi

Wito ndo unalisha familia???
Mbona mnatunukuhu vibaya?hatujawahi sema profession zingine zipo chini yetu.the only difference between you and us ni kwamba sisi tumetambua our worth
 
Na nyinyi madaktari wa Tanzania mmezidi kuliialia kama tabia ya "kundi fulani" katika jamii yetu.

Hivi hamukuona wenzenu jirani zenu wa Kenya walifanya nini majuzi? Kama mnafikiri Serikali inaweza kuwapatie haki zenu kwenye kisahani cha dhahabu, mtasubiri hadi Masiya atarudi!

Action speaks louder than words, and that is the only lamguage the government of URT can understand.

I'm sorry for those innocent people who will die because of that action, but you need to break some eggs to make an omellete.

Lay down your tools collectively and that dude Blandina Nyoni believe me will come to the negotiating table.

Thank you
 
Poleni madaktari kwa kweli hali ni ngumu, mnapewa stress ndio maana hata mnajichanganya kwenye operation wakati unawaza kwenda kumchukua mgonjwa umfanyie upasuaji wa kichwa mara simu inaingia unadaiwa school fees ya mwanao wakati mfukoni hakuna kitu, ukizinduka toka kwenye simu hiyo umesahau badala ya kwenda kwa mgonjwa wa operation ya kichwa una enda kwa yule wa operation ya mguu.
 
Hivi wana jf,lazima mtu afanyie intern mhimbili?akienda hospitali nyingine kuna tatizo gani?au hawa intern wanataka kwenda kufanya operation ya kichwa badala ya mguu kama siku zile?

Au ndio ule mtizamo kuwa lazima uishi dar na ufanye kazi dar ndio mambo yako yatakunyookea?ukienda mkoa una loose?

wasomi wetu wanatuangusha sana,sasa kama wao wanakuwa walalamikaji kama sisi,je nani atamsaidia mwenzake?nani atamuongoza mwenzake?
mi nawaomba hawa Intern wawe flexible,maisha popote,tena wao kutokana na elimu yao wakienda mikoani watafanya kazi vizuri sana maana kwanza kuna upungufu mkubwa wa wataalam hivyo watakuwa potential sana.

Ndugu yangu tatizo hamjui kinachoendelea.kuna speciality zinapatikana muhimbili tu,ukienda sehemu nyingine imekula kwako.sasa huyu mtu akipangwa kijijini kwenu atawasaidia ndugu zako???fikiria mbali usiwe shabiki wa mambo ya siasa kichwa kichwa
 
umesema mambo ya maana sana,lakini kwa kuwa watanzania tunapenda kukurupuka kabla mtu hajajua tatizo anaanza kulaumu.hawa jamaa wanataka warundikane sehemu moja ili waweze kudeseana/kuangaliziana kazi.ka ufupi ni uzembe flani ambao huwezi kuuona kirahisi hadi uwe na akili timamu.kwani kuna tatizo gani wakihamishiwa amana,mwananyamala au temeke??????????????????????????????????????????????????????????????au wanakimbilia jina kubwa la hospitali ??????????????????

Mnafikiri ugonjwa unachagua hadhi ya mtu?subiri yakukute una mgonjwa halafu anashindwa kutibiwa hizo hospitali zilizotajwa anapewa referal muhimbili na huko anakutana na bonge la foleni.wewe unadhani ni haki mgonjwa wako kupangwa tarehe za mbali kwasababu hatuna wataalamu wa kutosha??qe unaona temeke,amana,mwananyamala zinatosha kwa mwendo wa kazi unavyoenda??
 
Nashangaa sana kwa Media kutangaza kwamba Madaktari hawajagoma leo! Hivi wanataka tukafie getini!!? Nimetoka kuongea na Daktari Mwananyamala ananiambia wako kwenye mgomo, na hivi sasa anaelekea Don bosco kwenye mkutano wao. Isitoshe nimeongea na Mfanyakazi(Nurse) wa Muhimbili, amenihakikishia kwamba Maddaktari wako kwenye Mgomo. Sasa kwa nn Serekali na Media hazituambii ukweli!!???

Propaganda za serikali hizo wanaogopa wananchi wakijua extent ya mgomo watagoma
 
Mkuu Tamuchungu, unajua Intern doctors wanapenda kujazana Muhimbili kwa kuwa ni wavivu wa kazi za mikono, unajua kwa jinsi wanavyokuwa wengi wanashindwa ata kufanya kazi za mikono. Huu ndo ukweli, Muhimbili ni Teaching hospital, kuna wanafunzi wengi wa postgraduates ambao ndo wanaaminiwa na madaktari Bingwa na kupewa wagonjwa ili wafanye upasuaji mkubwa na mdogo na kwa kuwa Intern ni wengi ili kupata mgonjwa wa kujifunzia ni mbinde kweli kweli, wanachoweza kufanya ni kutazama tu kila kukicha kama medical students wanavyojifunza, sana sana kazi za mikono wanazofanya ni kuweka drip wagonjwa pamoja na kuosha vidonda na kucrack wagonjwa ili waje waonywe na post graduate students (Residents).

Intern wavivu ndo wanaofaidika Muhimbili na ndo maana wanan'gang'ania kubaki hapo. Shughuli katika hospitali za Wilayani au Mikoani ni pevu mno, Intern anapofika Wilayani, Viongozi wa wilaya yote wanafurahi kwa kuwa wanajua Daktari aliyefuzu kikamilifu kafika na inawezekana ndo ukawa MD kepe yako Wilayani hapo umezungukwa na AMOs. Intern welevu wanaweka vichwa vyao chini na kuanza kujifunza kazi kupitia kwa AMOs waliwakuta hapo, Amini nakwambia katika kipindi cha wiki 2 tu, Intern anakuwa surgeon anafanya kila kitu, kuanzia kuzalisha kina mama wajawazito kwa upasuaji, kufanya upasuaji wa ngiri (hernia), kufanya upasuaji mkubwa wa tumbo (Lapalotomy), kuunganisha wagonjwa walivunjika mifupa, kutahiri watoto na kutibu watoto na wakubwa na baada ya mwaka mmoja tu, huyu intern wa wilayani anakuwa amefikia uwezo wa Daktari Bingwa, hawezi kulingana ata chembe na intern kutoka Muhimbili na ata linapokuja suala la ajira hapo inabidi uangalie kwa umakini madaktari waliofanya intern muhimbili kwa kuwa wanakuwa hawana maskills kabisa, inabidi uanze kuwapa upya mafunzo ya vitendo. Ukweli huu wanaujua madaktari na si porojo ndo maana sasa interns wengi baada ya kugundua hili wameamua kufanya mafunzo yao ya vitendo (kazi za mikono) katika hospitali za wilaya na za Mikoa.

Mie intern nilifanya mkoani na nilikuwa nakula bata kuliko wa muhimbili......point zako hazina maaana.wanafanya kazi kuliko qengine ndo maana wengi wanakimbilia mkoani
 
mimi ni daktari amana hospital,nadhani sisi madaktari tudai haki zetu lakini tukumbuke kuwa kuna watumishi wengine mfano walim,nao wanaitegemea serikali kwa serikali itupe haki zetu lakini madokta pia tuwe fair.

Unapodai haki yako especially kwenye negotiations na kama unataka kufanikiwa inabidi uwe MCHOYO, na kujiangalia mwenyewe na si wengine watasemaje au watafanyaje. Wengine nao watafute utaratibu wao wa kudai haki yao.
 
Nyie si ndo mliopasua kichwa cha mgojwa kuunga mguu ulovunjika? Then mkachana mguu wa mgonjwa mwingine ili mumfanyie operation ya kichwa,hapo ingependeza wazir awe pombe magufuli au steven wasira ili washrikiane na mama nyoni kuwanyoosha,iweje mng'ang'anie kubaki muhimbili kwan huku mikoani tulipo kodi yetu haichangii kwenye mishahara yenu!!

ww unautani uliokithiri be kea fuli utabamanswa ole wako!
 
huyu mama ni balaa hii ishu angetumia busara wala yasingefika hapo walipo inabid ajifikirie na misimamo na pride zake za kike zisizokua na tija kwa maendeleo ya wizara na taifa kwa ujumla
 

Unapodai haki yako especially kwenye negotiations na kama unataka kufanikiwa inabidi uwe MCHOYO, na kujiangalia mwenyewe na si wengine watasemaje au watafanyaje. Wengine nao watafute utaratibu wao wa kudai haki yao.

rangi ya font zako mbaya.....hata husomeki. Mbwembwe zingine hazina hata maana, ungetumia rangi ya kawaida usingesomeka?? Hovyo sana wewe...
 
Kwani baada ya kuapishwa pinda aliwahi kuongea kuwa hii kazi ya pm ataijaribu naona sasa amejaribu ameshindwa naona

sasa atafakari busara ya kujizuru
 
Nyie si ndo mliopasua kichwa cha mgojwa kuunga mguu ulovunjika? Then mkachana mguu wa mgonjwa mwingine ili mumfanyie operation ya kichwa,hapo ingependeza wazir awe pombe magufuli au steven wasira ili washrikiane na mama nyoni kuwanyoosha,iweje mng'ang'anie kubaki muhimbili kwan huku mikoani tulipo kodi yetu haichangii kwenye mishahara yenu!!
acha majungu humu ya ukwere
 
Jamani tuweni wakweli serikali yetu imechoka. Madaktaqri endeleeni kugoma kwani wanatumia pesa nyingi katika mambo yasiyokuwa ya Msingi. Madaktari wasikilizwe bana
 
She is the most hated woman in Tanzania after speaker of the parliament and Getrude Lwakatare
 
Back
Top Bottom