Mgomo wa Madaktari: KCMC kufungwa kesho

Mgomo wa Madaktari: KCMC kufungwa kesho

Big Up KCMC Doctors! Keep on! Victory is just around the corner! Speed hii, ITAMLAZIMISHA BUBU KUZUNGUMZA!
 
Results za kuweka mashati kwenye sehemu nyeti kama wizara ya afya...
 
I support the doctors!

sema nasapoti mauaji.. Assume ndio ungekuwa mkazi kweli wa kijijini then ndio umesafiri kwa kukopa nauli hadi muhimbili then unakuta hakuna matbabu ikizingatia upo kwenye hali mbaya
 
Topical,
Mkuu wangu hawa kwa lugha yao wanaitwa CASUALITIES OF WAR.. Inasikitisha sana kuona dehumanizing inawafanya watu kufungamana maana hata leo ukiuliza watu kuhusu vita ya Afghanstan kila mtu atachukua upande wake lakini sii rahisi kumsoma mtu akisema ile vita haikutakiwa kutokea in the first place.

Kinachoniskikitisha zaidi mimi na haswa hata kufikiria kuachana na mambo ya siasa za Kibongo ni pale watu wote wameondoa uzalendo wao wakijua fika kwamba tatizo ni CSSC ambao ndio wapangaji na waendeshaji wa huduma za Afya na Elimu nchini lakini watu wote wamefumba macho kabisa wala hawataki kuzungumzia kwa sababu za kiimani. Kwa nini hakuna mtu anataka kuzungumzia taasisi hii, sii Tv, gazeti wana blog wala wanasiasa isipokuwa ni serikali ya JK vs Madaktari..

Huu mgogoro wa madaktari umenifumbua sana macho na kwa mara ya kwanza nitakuwa mwangalifu sana na watu jambo ambalo zamani sikutaka kuliamini lakini sasa nimeliona kwa macho yangu mwenyewe... Na sii ajabu mgomo huu umepangwa makusudi kuandaa mazingira ya kisiasa zaidi ya kweli kwamba madaktari wanagoma kwa sababu ya mishahara midogo.

Leo nilikuwa nazungumza na daktari wangu hapa akanambia kwamba yeye kufikia kuwa Daktari bingwa anadaiwa na serikali zaidi ya dollar 120,000 kwa elimu alopewa na zinakatwa kila mwezi kurudisha deni hilo. Sisi madaktari wetu bingwa wamesomeshwa bure na serikali, wanapewa nyumba bure, wanalipiwa maji, umeme na kadhalika lakini wamegoma hata kufanya utaratibu wa migomo ambao bado wakaokoa maisha ya wananchi...Huu kweli ndio uzalendo halafu bado watu wanataka kupigania haki zao wakati wamepoteza Utu wao..
Kusema kweli toka nimpoteze rafiki yangu kutokana na mgomo huu siwezi kuchukua upande iwe wa serikali, bunge wala madaktari kwa sababu wote hawa ni wauaji na wamevunja viapo vyao. JK vunja bunge, vunja serikali na ondoa kabisa muafaka wa MoU na CSSC, rudisha mamlaka hayo serikali kuu.
 
CSSC pamoja na kupokea 90bil. umeshindwa kuboresha huduma za hospitali zake meaning wanatumia vibaya pesa za umma;

Mkuu wakristo ndivyo walivyo umechelewa sana kuwafahamu wewe; church first then wananchi ..lol
 
church will never fail on anything ...acha udini ww
 
Ni sawa na kusupport vifo vya watu mahospitalini. Tunatakiwa kujadili suluhu na siyo kuwaunga mkono madaktari jamani!
serikali na bunge wanashindwa ww unataka ujadili mgomo utaweza? Bora kuunga mkono upande mmoja ijulikane rangi yako
 
Kumbe migomo ni bora kuliko maandamano!! Polisi na mabomu yao ya machozi hawana kazi!!
 
Babu Nate Kagoma, hailipi tena, Mungu aluyemwotesha ndoto yupo likizo, kikombe cha Babu hakifanyi kazi, Babu alikua Upupu tu hakuna lolote.
 
Back
Top Bottom