tonnyalmeida
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 226
- 46
Nimepata taarifa za uhakika kutoka BUGANDO mwanza kuwa madaktari wa bugando wanaoendelea na mgomo jana walikubaliana kuomgeza makali ya mgomo huo kwa kutoandaa ratiba za kazi kwa idara zote. na ilipofika asubuhi mmoja wa madaktari walioko katika mafunzo ya udaktari bingwa wa magonjwa ya kinamama na uzazi (OBSTETRICS & GYNAECOLOGY) alipoulizwa katika vikao vyao vya asubuhi maarufu kama MORNING REPORT MEETING kwa nini hakuna ratiba alijibu bila kuumauma maneno kuwa ni kwa sababu TUMEGOMA ndo mana hakuna ratiba mbele ya madaktari bingwa walokuwepo katika kikao hicho na madaktari wote wakatawanyika. huyu daktari ALEX kwa tabia zake za kujipendekeza kwa wakubwa ambao pia washachoshwa na hiyo tabia yake akakiuka makubaliano ya madaktari wenzake wanaoendelea na mgomo ili kuishinikiza serikali kutoa majibu ya mad#aiya maslahi yao akaenda kuandaa ratiba hvo akawa amevuruga mpango mzima wa madaktari wote wa BMC wa kuongeza makali ya mgomo ili kuikumbusha serikali wajibu wake.
watu WASALITI KAMA DR ALEX resident mwaka wa 3 CUHAS tuwafanyeje?
WADAU NAOMBA KUWASILISHA
watu WASALITI KAMA DR ALEX resident mwaka wa 3 CUHAS tuwafanyeje?
WADAU NAOMBA KUWASILISHA