Mgomo vs Traffic Jam!!!

Mgomo vs Traffic Jam!!!

KABAZI

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2010
Posts
303
Reaction score
11
Waungwana niambieni!! Kesho tumepigwa mkwala hakuna kugoma na kuanzia kesho hiyohiyo tunategemea traffic JAM kubwa kuwahi kutokea hapa DSM.

Sasa kama nimekwama kwenye JAM ikapelekea kuingia ofisini saa 5 nikahusishwa na mgomo itakuwaje hapo! Nisaidieni wajameni!
 
Na wewe ni miongoni mwa wazee wa dar es salaam nini?
 
Hospital ya Milembe kule Dodoma inabidi kupanuliwa sana......!
 
Jibu analo jk mwenyewe na watendaji wake, kwanza kwanini walete mkutano huo huku dar wakati miundombinu mibovu! kwanini wasingepeleka AR? ushauri hizi siku za mkutano ziwe siku za mapumziko tu ndo nafuu yake,
 
Waungwana niambieni!! Kesho tumepigwa mkwala hakuna kugoma na kuanzia kesho hiyohiyo tunategemea traffic JAM kubwa kuwahi kutokea hapa DSM.

Sasa kama nimekwama kwenye JAM ikapelekea kuingia ofisini saa 5 nikahusishwa na mgomo itakuwaje hapo! Nisaidieni wajameni!

Tukusaidie nini? kutafuta kazi ingine ukitemwa?
 
Jibu analo jk mwenyewe na watendaji wake, kwanza kwanini walete mkutano huo huku dar wakati miundombinu mibovu! kwanini wasingepeleka AR? ushauri hizi siku za mkutano ziwe siku za mapumziko tu ndo nafuu yake,

Hawa jamaa bana sijui hata fikra za maandalizi walizianza vipi kuanza kuwaza mkutano uwe hapa DSM. Mwenzao MUSEVENI wakati amehost CHOGUM ile Commonwealth ihakikisha watu wote wanaofanya kazi city centre hakuna kwenda kazini kwa siku zote za mkutano!
 
kweli yanatimia yale yoote yaliyosemwa,ngoja tuone na lingine linalokuja na kuonyesha rangi halisi ya watawala!!
kweli kuna watu ni miungu watu,yani unafunga barabara kama vile hii nchi ni iraq/pakistan???usalama gani huo
 
They don't care about productivity decrease nor they don't account for losses which will be incurred. They will still aim to collect a lot of money from taxes while the business is brought to a halt by themselves "the rulers" with their myopic planning!!!!
 
Teh teh teh teh lazima nigome hata siku moja poa tu lakini msg delivered kesho, nakwamwa kwenye foleni watakoma
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom