Mgomo udsm

Aug 31, 2011
35
27
Hasira za wasomi zawaka udsm.
Kesho ni mgomo wa wanafunzi wa chuo kikuu cha dar es salaam dhidi ya utawala wa chuo hicho kuwataka wenzao 48 waliofukuzwa chuo kwa sababu ya mgomo uliofanyika tar 11-11-2012 kuwatetea wanafunzi ambao hawakudhaminiwa mikopo.
Mungu ibariki tz, mungu nibariki udsjm.
 
Haya sasa mukandala alijivuna amekomesha migomo kwa kuondoa vinara
 
Hasira za wasomi zawaka udsm.
Kesho ni mgomo wa wanafunzi wa chuo kikuu cha dar es salaam dhidi ya utawala wa chuo hicho kuwataka wenzao 48 waliofukuzwa chuo kwa sababu ya mgomo uliofanyika tar 11-11-2012 kuwatetea wanafunzi ambao hawakudhaminiwa mikopo.
Mungu ibariki tz, mungu nibariki udsjm.

Edit mwaka basi mkuu,waosha vinywa wasikupandie
 
...labda mtagoma japo siwaamini sana vijana wa sasa, mbwembwe nyiingi mwisho zzzzz
 
Hasira za wasomi zawaka udsm.
Kesho ni mgomo wa wanafunzi wa chuo kikuu cha dar es salaam dhidi ya utawala wa chuo hicho kuwataka wenzao 48 waliofukuzwa chuo kwa sababu ya mgomo uliofanyika tar 11-11-2012 kuwatetea wanafunzi ambao hawakudhaminiwa mikopo.
Mungu ibariki tz, mungu nibariki udsjm.

mtoto wa maskni niko nyuma yenu, lakini hapo kwenye red hatujawahi kufika, itatuchukua mda kufika hapo.

tupe update kama mmefanya kweli
 
Watawatisha kwa kila aina ya silaha laki hakikisheni haki imesimama kwani bunduki na mabomu ya machozi si lolote na si chochote mbeke ya haki
 
Tanzania bila mgomo haiwezekani
Mnaogopa mitihani. Kwa nini kila inapokaribia mitihani ndipo migomo inapamba moto? Hamjui ku-negotiate mpaka kila issue muingie mitaani? Mnajikomesha wenyewe na siyo Mukandala. Mtarudia miaka, kufukuzwa, kurudia mitihani, kunyimwa mikopo. Anayeathirika si Mukandala vijana.
 
ama kweli shuka usilolilalia huwezi tambua kunguni wake

Back
Top Bottom