Mgomo UDSM, Mabibo hostel

Mgomo UDSM, Mabibo hostel

Tumbaku zenu mmejua kuvaa suruali za dada zenu mnasumbua tutawarudisha vijijini


Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

hahah! Watu mnavisa ukute na wewe enzi hizo ulikuwa mstari wa mbele kuandamana .loh
 
Yan mnajua umeme ni kusomea peke yake...... pump ya tank la block g linategemea umeme kusambaza maji kwenye matank yote block a had f..... umeme unapokata maji yanaletwa na magari kwa kias kidogo....... bila maji vyoo havifai joto la dar bila maji maisha hayaendi...
 
Someni na mje mtaani mtafute pesa,kusifia chuo ndo nini? Haki ya umeme ni watz wote,sio nyie tu,------- sana.
 
hata muandamane vipi kama mchana hamsomi itakula kwenu..
 
Vijana wengi wengi tunagoma bila kufanya uchunguzi wa chanzo cha tatzo...hv kama wangehusisha uongozi wa wanachuo DARUSO wakafika makao makuu TANESCO wakafahamu tatzo na kujua hatua za kuchukua kungeharibika jambo? Halafu vijana wengne anagoma kwa mkumbo akiulizwa hana hata hoja za msingi...utasikia tunagoma sababu tumekatiwa umeme...hajaji kwa nn ameamua kuunga mkono mgomo! Mfano juzi...suala la kuziba barabara watu na vyombo vya usafiri wacpite ni kitendo cha kutokamaaa kiakiri....c kwamba nawabeza ila umeme na kuziba barabara havina uhusiano...wangeandamana hadi tanesco makao makuu kama kweli walikuwa wamejipanga kwa hoja! Ni hayo tu.
 
Hebu tuangalie hili tukio halafu tulinganishe, mnamo 2010 nikiwa mwaka wangu 2 chuo, na kipindi mandela road inajengwa nikiwa naishi mabibo hostel yalifululiza matukio ya kugongwa na magari pamoja na picpic kwa wanahostel wa mabibo...pale mavuko ya hostel na lunch time...kitendo hcho tulikaa wadau(nikiwa mwanaharakati na kiongozi wa kutetea haki za binadamu kupitia UDHRA) tukabaini kuwa magari na pcpic yalikuwa yanapita kwa kasi sana bila kujali kuwa ni sehemu ambayo wanahostel na raia wengine huvuka kwa wingi na hvyo barabara haikuwa na alama yoyote ya kuwaongoza madreva...tukafikiria kuziba barabara kwa masaa machache mida jioni ya saa 3 hv...tukiwa na mabango ambayo yaliandikwa TUNATAKA BAMS MABIBO, walau kuweka heshma kwa mdreva...japo tulitawanywa kwa mabomu ya machozi...kesho yake tulifika kwa kamanda wa poli kinondoni, mhandisi wa manispaa kinondoni tukakaa tukajadili na tukaafikiana bams ziwekwe na kweli siku 2 badae ziliwekwa kwa mda maana Haikuwa ktk plan ya barabara hyo kuweka bams! Husisheni sasa!
 
Hili nalo!! sijui ndo linahamasisha vijana wagome! We all know that Tanzania yetu haiko stable kwenye suala la nishati na teknolojia inachangia pia,kama unaona una haki ya kupata umeme mfululizo mpeleke baba ako akafanye kazi Tanesco ili umeme usikatike, we unafikiri Tanesco wanapenda umeme ukatike katike, acha utoto mtu mwenyewe umesoma Isimani huko ,periphery of the periphery huko umeme wa kuhadithiwa
Why are you shouting so loudly and stupiditly? First, naunga mgomo wa wanafunzi on the Issue of power. Look, nikwasbb ya huu mgomo very quick TANESCO walirudisha (I prefer not calling it mgomo, instead call it means of expression) and it is one of the fundamental human rights.Pili, the government kupitia waziri wa nishati na madini alishatangaza, kukatika kwa umeme to be an history! Remember? we dont play apolitical here! And we need power for several reasons, responsible and sensible students need reliable power to realize their dreams regardless how they look like, what they have or where they are coming from (country side or urban).Look how you shout stupids so loud "mtu mwenyewe umesoma Isimani huko ,periphery of the periphery huko umeme wa kuhadithiwa", "Nimpeleke baba angu akalete umeme TANESCO". What are you trying to argue here? Unajua TANESCO ni nini na ipo kwa misingi ipi na kwa ajili ya nini wakati gani? Its insanity to know what to do then your not doing! I have all the presmises from your plain statments to conclude that your just insane. Wenzako ambao hawajui they tend to remain quite and learn (If you know teach,If you dont know learn) you still have time to do so.Hujaongea chochote except filling the JF servers with mare words. At the first place ungejiuliza why the county is not stable kwenye energy and technology at the midst of massive resources that could have been used to produce energy? Also there are mean in which a country can get technology? Are you aware about this?Kama watanzania ndo nyie, it will take ages to develop. Are you aware that maandamano (You may call it kugoma etc) ni moja wapo ya haki za msingi internationally and you dont need to ask anybody to allow you do so? Tanzania its a right guided by the constitution. Siyo lazima kila kitu useme au uandike hapa JF the home of great thinker. Hope nimekusaidia?
 
ukipewa boom unakimbilia tshirt na jeans na ma iphone badala ya kununua taa za betr .kaz yenu kujirusha tu.fyuu kueni madogo

Mkuu, umeonyesha 1kb brain capacity katika kufikiri, kuchambua na kuandika. Hawa watu wanalipa accommodation which include reliable electricity, water na mambo mengine kama hayo. So wanunue taa za nini? Pia kumbuka boom hawapewi bure wanakopeshwa na watalipa. TANESCO ipo siyo kukata umeme bali kuhakikisha watanzania wote wanapata umeme.

wakati mwingine ficha u.p.u.m.b.a.v.u. Acha Ujuha.
 
Hivi unajua hata criteria ya rank za vyuo?! Fuatilia kwanza afu ndio utoe mchango, no research no right to speak.
 
Kama hii ndio level ya ufikiri wa wanafunzi wa udsm, basi sijisikii fahari kuwa kundini, kijana kuwa makini na unayoyaandika mtandaoni.....wakati mwingine keep your comments to yourself, itakuepusha na fedheha.
 
hao watoto wanatafuta kick hakuna lolote kama ishu ya umeme asilimia kubwa ya watanzania hatuna umeme ila kila kitu kinaenda la msingi wamtumie dean wao akatafute unakata kwa sababu gani
 
umeme tu mnagoma, hadi wimbo wa taifa mnaimba. Ngoja mmalize muingie mtaani mtaimba wimbo wa taifa kila saa.
 
Back
Top Bottom