Mgomo Azam Tv

Mgomo Azam Tv

Ngoja niwapatie kile ninacho kifahamu!

Nimeona kwa wiki kadhaa watu wakilalamika mtandaoni na kutoa shutuma kwa Mamlaka ya mawasiliano nchini TCRA:

Kuhusu Azam Tv kutokurusha habari! Utaratibu uko hivi, ukiwa una kituo chako cha televisheni na unataka ukipeleke kwa walaji (Viewers/ customers) Baada ya kumaliza taratibu zote ikiwemo vibali toka kwa mamlaka ya mawasiliano nchini TCRA ..mamlaka inakupa option tatu tu za urushaji/ uwekaji hewani wa maudhui yako ama kituo chako.. Option hizo tatu ni either Tv yako uiweke kwenye ving'amuzi vya Star Media (Startimes) , TING ama Continental pekee! na hakuna option ya DSTV ama Azam Tv au DigiTek! why? kwasababu makampuni tajwa ( Starmedia, TING na Continental) ndiyo pekee yaliyo shinda zabuni ya urushaji matangazo kwa vituo vya ndani ( Wakati tunahamia mfumo wa Digitali)

Mamlaka ya mawasiliano ilibaini kwamba kampuni ya Azam Media ilikua na leseni ya kurusha matangazo tu na haikua na kibali cha utoaji huduma za habari: Na ikafahamika kwa zaidi ya miaka 7 Azam imekua ikitoa huduma ya habari kinyume na sheria (Urushaji wa matangazo, habari, vipindi Nk)

Na kwa taarifa yenu tu ni kuwa wale wote wamiliki wa vituo vya televisheni waliopeleka kutaka maudhui ya vituo vyao yarushwe Dstv, Azam, ama Digitek ni kuwa wamekiuka sheria hivyo michakato yote hivi sasa (As am speaking) kwa vituo hivyo imesitishwa/ ama hutoweza kufanya hivyo!

Baada ya sakata hilo, inaaminika kwamba walioshinda zabuni ya urushaji wa maudhui ya vituo vya televisheni vya ndani (Starmedia, TING na Continental) jamaa inasemekana walienda kulalamika kwa serikali.

Kilichopo ni kwamba Watoa huduma walioshinda zabuni hawana uwezo wa ku-compete na hawa investors wengine kama Azam (They are expanding rapidly pamoja na DSTV)

Kutokurushwa kwa taarifa ya habari ya Azam ni sehemu za hatua walizotakiwa kuchukua mpaka pale taratibu za kisheria (Vibali na leseni) zitakapo kamilishwa!

c.p
Asante kwa taarifa
 
Asante kwa Taharifa
 
Uko sahihi kabisa. Azam watapoteza sana wateja
 
daaah kama ni hivyo hii nchi inamasheria ya ajabu sana ndio maana watu hawaji kuwekeza maana ukiwa unatoa huduma yenye quality washindani wako lazima wakutafutie figisu serikalini!!
 
Na hivi siangaliagi hizo local channels siwez gomea azam tv
 
Nilikuwa na wazo kama lako! Kifurushi changu kitaisha 15/08/2018 kwa kweli silipi! Sina haja tena
 
Back
Top Bottom