Elections 2015 Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli

Wanaosema JK hakumtaka Magufuli know nothing.

Magufuli alishachaguliwa na system kumrithi JK kitambo tu kabla JK hajastaafu.

Sasa kama JK alimclear, maana yake alimuendorse. Ukizingatia fact kuwa Usalama wa Taifa uko chini ya ofisi ya rais, basi JK lazima aliplay key role kuhakikisha jina la Magufuli linapenya mpaka mwisho!
Hapa ndipo mnapodanganya watu. Eti ' Alishachaguliwa na usalama wa Taifa'. Poor we Tanzanian tusiojua hata maana na Majukumu ya System.

Nadhani Upatikanaji wa Rais ni Mchakato wa Chama husika.Bila shaka Kazi ya kitengo through vetting ni kushauri in case candidate ana athiri usalama au Maslahi ya nchi.

Ulichoandika kana kwamba Idara ilichukua jina na kumuambia Kikwete na CCM kuwa huyu ndiye anafaa.
 
Afu amini hakuna Usalama wa Taifa unaochagua Presda bali kuna kikundi cha madini wachache sana na wenye nguvu mno ndo hufanya kazi hiyo wakati ukifika hao TISS ni pambo tu
 
Wanabodi,
Kilichonistua, kunitisha, kunihuzunisha, kunisikitisha, kunisononesha, kunigopesha na kuninyongoneza ni the reasons behind, sababu alizonitajia kada huyu za why mgombea wa CCM mwakani ni Magufuli, ambazo ndizo zimepelekea the inner core ya CCM kuamua mgombea wake wa urais wa 2015 ni lazima awe John Pombe Magufuli tuu, and no one else!.

Kwa vile sababu hizo alizonitajia, baadhi kweli ni sababu za msingi na ziko justifiable kwa any reasonable man, sababu nyingine alizonitajia sio tuu ni unreasonable, bali pia ni unjustifiable! na hazikubaliki kabisa katika Tanzania ya leo!.

Hili la kuamua ni Magufuli, limenistua kidogo kwa sababu kwa sisi tuliomfuatilia utendaji kazi wa Magufuli kwa kauli na matendo tangu akiwa waziri, japo kiukweli ni mchapa kazi, yaani ni jambo la ukweli, lakini mtu huyu ameonyesha wazi sio mzuri sana in terms of stability in decision making!, amefanya baadhi ya maamuzi mengi tuu kwa jazba, pupa, papara na kukurupuka kwa mtindo wa nimeamua mimi na liwalo liwe!, mwisho wa siku baadhi ya maamuzi yake ambayo mengine ni very rational yanakuja kutu cost sisi kama taifa, mifano ipo, ikiwemo kuvunjwa ile Petro Station Mwanza, Uuzaji wa nyumba za serikali, Samaki wa Magufuli, just to mention but few, hivyo akipita na kuwa rais wa nchi hii, kama huu ndio mfumo wake wa kufikia maamizi, then you can just imagine, akiwa rais, atafanya maamuzi mangapi ambayo yatatucost kama taifa, ila pia kwa hulka yake, ana chance ya kuja kuwa the worst dictator this nation has ever had!. Tuombe Mungu asaidie, hili likitimia, huyu mtu abadilike, na kuwa a benevolent one, vinginevyo.. !.
Hongera sana Dr. John Pombe Joseph Magufuli kwa kuteuliwa kuwa mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi, CCM.

Paskali
Leo Machi 17 ambayo ni Magufuli Day, nadurusu baadhi ya mabandiko yangu humu kumhusu JPM huku nikitafakari, if I was right or I was wrong.
Kwa vile kila zama na zama zake, Pumzika kwa Amani Magufuli wetu huko ulipo.
RIP JPM
Paskali.
 
Hongera mkuu kwa kuona mbali sana, nakumbuka ulivyomchonoa kwa kwa kuhoji kuhusu kutenganisha mihimili ,akaonyesha rangi yake mapema sana.
Amefanya mengi mazuri na mengi ameharibu .
Alale salama
 
Wanabodi,

Leo nimekutana na rafiki yangu wa siku nyingi tuliyepotezana naye kipindi kirefu nyuma, ambaye ni mtu wa sehemu na wa kuaminika sana ambaye yuko attached CCM kama kada tuu wa kawaida wa Chama cha Mapinduzi-CCM, akanieleza seriously habari za kushtusha kidogo ambazo mimi zimenitisha, zimenisikitisha, kunihuzunisha, kuniogopesha, kunisononesha na kuninyongonyeza!, kuwa eti imeishaamuliwa (sitaji imeamuliwa na nani), kuwa mgombea wa urais wa mwaka 2015 kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi-CCM ni Mhe. John Pombe Magufuli!.

Kwa kawaida sisi waandishi wa habari, ukipata taarifa kama hii, huwa inaitwa "a news tip", haukimbilii kuiandika mbio mbio mpaka kwanza uifanyie verification kwa kui double check na kui cross check ili kujiridhisha kwa kuthibitisha ukweli wa taarifa yenyewe, baada ya kuthibitisha na kujiridhisha kuwa ni kweli, ndipo unaiandika.

Lakini kwa vile sasa tunaishi kwenye dunia ya taarifa moto moto, "the world of information age", ukipokea tuu taarifa, unashare na wenzio, ndio maana na mimi nimeamua kuileta humu jf hii "news tip" hivi hivi ilivyo ikiwa kwenye hatua ya "tip" kabla hata ya verification, ili wewe kama mwana JF, uipate ile "JF advantage" ya "be the first to know!", yaani ukiwa mwana jf, unakuwa wa kwanza kujua, hivyo nawaombeni tuu sasa wana jf mkae mkijua kuwa "Mgombea wa urais wa CCM kwa mwaka 2015 ni John Pombe Magufuli!".

Sababu ya kuiwahisha humu JF kabla ya verification ni ili tuu wewe kama mwana JF to be the first to know!. Information is power!, if you are the first to know, then you'll have the powers to make good things happen or not to happen if they are bad things!.

Asante.
Paskali

Update: 12/07/2015

Leo hili limetimia ni kweli aliyepita ni Magufuli.

Hongera sana Dr. John Pombe Joseph Magufuli kwa kuteuliwa kuwa mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi, CCM.

Paskali
Sijawai kuuona weledi wa kazi yako. Huna tofauti na TBC.
Sijawahi kuuona ukweli wako

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Los técnicos , Kwa vile mimi ni mwana habari, kazi yangu rasmi ni uhabarishaji umma, weledi wa kazi yetu ni kutoa tuu taarifa za kweli, yaani truthfulness, with objectivity, impartiality and balance.

Ukweli ni hayo ninayo yaripoti humu yanapokuja kutokea ukweli. Mfano mzuri ni hili la mgombea urais wa CCM wa 2015 nililoripoti humu limekuja kutokea kweli.

P
 
Pascal Mayalla leo ni zaidi mwaka Magufuli hayupo duniani, je unaweza kutuletea list ya hadhara aliyosababisha kwa taifa hili kwenye uongozi wake wa miaka 5?

Miradi uliyoiponda kama SGR, ununuzi wa ndege bado inaendelea vilevile.
 
Kitu muhimu sio hiyo miradi ipo ama haipo, au inaendelea au haiendelei bali nilipoiponda, niliiponda kwa hoja gani na hicho nilicho ponda jee ni kitu cha kweli au niliponda kwa chuki tuu?.
Subirieni hii the biggest white elephant SGR aanze kutafuna operating cost kama anavyotafuna ATC, ndipo tutakumbushana.

Iweje nchi nyingine SGR isiwe big white elephant project alafu Tanzania iwe white elephant project?

Iweje nchi zingine shirika la ndege lifanye vizuri ila ATC isifanye vizuri? Unataka kutuambia Tanzania hamna haja ya kuwa na ndege
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom