Mgombea wa upinzani nchini DRC aliyeshika nafasi ya pili, Martin Fayulu amejitangaza kuwa Rais .

huyu mzee fayulu anatafuta kuzeeka vibaya tu...nasikia ndo chaguo la catolic church huyu,ngoja tuone kati ya serikali na kanisa ipi ina nguvu hapa
 
Huyo Felix kapita ameshapata support ya Kabila na SADC wadau wenye ushawishi Congo wengine ni wapiga kelele tu.
 
Mgombea wa upinzani nchini DRC, Martin Fayulu amejitangaza kuwa Rais wa taifa hilo tajiri kwa madini, huku akiwasihi wananchi & jumuiya za kimataifa kutomtambua na kumpa ushirikiano mtu mwingine atakayedai kuwa kiongozi wa taifa hilo. Pia ameitisha maandamano ya amani nchi nzima.
View attachment 1000419
Maskini Africa

Jr
 
Back
Top Bottom