Mgombea wa upinzani nchini DRC aliyeshika nafasi ya pili, Martin Fayulu amejitangaza kuwa Rais .

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,269
Mgombea wa upinzani nchini DRC, Martin Fayulu amejitangaza kuwa Rais wa taifa hilo tajiri kwa madini, huku akiwasihi wananchi & jumuiya za kimataifa kutomtambua na kumpa ushirikiano mtu mwingine atakayedai kuwa kiongozi wa taifa hilo. Pia ameitisha maandamano ya amani nchi nzima.
IMG_20190120_185613.jpg
 
Siasa za Afrika na uhuru wa kuchagua na kuchaguliwa ni changamoto, leo Congo kesho sijui wapi?
 
Back
Top Bottom