kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 14,075
- 15,903
Sasa Leo tupo upande gani wanachadema hatutabiriki maana hata kakobe tumemgeuka!
EUko sahihi kabisa View attachment 1000428
EUko sahihi kabisa View attachment 1000428
Miafrika itaandamana tu, anaeitisha atakiwa amezungukwa na mafather na Beberu zikimlinda.washakufa 34 adi sa ivi (wanaojulikana) baada ya uchaguzi na uyu phala amecall for protest, maana yake wafaji watazidi ongezeka yeye akila bata na mkewe wakijifungia ndani
wakishauana, Martin atateuliwa kuwa balozi (au wadhifa mwingine serikalini ) (refer to zenji na kenya)Miafrika itaandamana tu, anaeitisha atakiwa amezungukwa na mafather na Beberu zikimlinda.
Poor Africa
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu phala atulie tu maji ya mesha zidi ungawashakufa 34 adi sa ivi (wanaojulikana) baada ya uchaguzi na uyu phala amecall for protest, maana yake wafaji watazidi ongezeka yeye akila bata na mkewe wakijifungia ndani
pambaf sana hawa viongozi weusi, kikishanuka anabeba familia yake anaruka landani uko kimyaa,Huyu phala atulie tu maji ya mesha zidi unga
Funzo kwetu chadema juzi tulimshabikia felex!
Ubongo wako ukiganda unafikiria na zawengine zina ganda!Sasa Leo tupo upande gani wanachadema hatutabiriki maana hata kakobe tumemgeuka!