Mgombea wa Uholanzi aahidi kufunga misikiti na kuwazuia Waislamu

Status
Not open for further replies.

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410
Mwanasiasa wa Uholanzi, Geert Wilders, anafanya mkutano wa mwanzo wa kampeni yake, na anahisi kuzuwia Waislamu kuhamia nchini humo, na kwamba atafunga misikiti.

Vilevile amawataja raia wa Morocco kuwa kashfa

Ulinzi mkali umewekwa katika mkutano huo karibu na Rotterdam.

Umebaki mwezi mmoja kabla ya uchaguzi, na kura za maoni zinaonesha kuwa chama cha bwana Wilders kina uongozi mdogo, ikilinganishwa na kile cha waziri mkuu, Mark Rutte.

Lakini katika majuma ya karibuni, wafuasi wa Bwana Wilders wamepungua.

Mwandishi wa BBC nchini Uholanzi, anasema kwa vile Bwana Wilders anamuunga mkono Donald Trump, inaonesha amepoteza baadhi ya wafuasi.

Chanzo: BBC
 
Ugaidi ni taasisi ndani ya uislamu ivunjeni haraka

Sent from my Lenovo A2010-a using JamiiForums mobile app


Hapana si kweli, jisomee kama unajuwa Kingereza, halafu niambie hiyo ripoti katoa nani na magaidi hapo wengi ni akina nani? Kuwa mkweli wa nafsi yako, usilete ubishi wa kijinga.

Ripoti ya utafiti ambao haukufanywa na Waislam inaonesha 94% ya ugaidi umefanywa na wasio Waislam, wengi wao ni Wakristo:

piechart2.jpg


Chanzo: http://www.globalresearch.ca/non-mu...0-of-all-terrorist-attacks-in-america/5333619
 
Hakuna atakaeweza kuwazuia waislam duniani kuingia nchi yeyote,laana anayopata trump kwa maandamano tangu aingie ikulu ni kielelezo
Mi naona tatizo sio waislam, Bali ni magaidi wanaouchafua uislam, hawa wangeshughulikiwa ipasavyo, uislam ungebaki kuwa ni upendo, ukarim, kujisalimisha kwa Allah na kutenda mema na usingesemwa vibaya na mtu yoyoye.
 
Raha ya Uislam ndiyo hiyo.

Kila unapousema vibaya ndiyo watu wanataka waujuwe vizuri. Jisomee:

Inside the Huge JFK Airport Protest Over Trump's Muslim Ban

Leo USA baada ya Trump Uislam unatetewa na wasio Waislam.

Huyo mgombea tunampongeza sana na tunapenda aendeleze kampeni zake dhidi ya Uislam.
Kiukweli kwa dhati kbs ndani ya nyoyo zetu tunamfurahia kiongozi wa aina ya Trump,Putin na wote wasioupenda uislam duniani,na sababu kubwa ni very simple UISLAM NDIO DINI PEKEE DUNIANI ILIOPOTEZA MAISHA YA WATU WENGI KULIKO ZOTE NA KULETA MAAFA MENGI SANA HIVYO BASI NI JAMBO JEMA IKIDHIBITIWA NA KUTOWEKA KBS KTK HUU USO WA HII DUNIA
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom