mpenda pombe
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 1,344
- 642
Nimepitia gazeti la TAZAMA Tanzania la leo sept 20.. Kwenye ukurasa wa mbele nimekuta wameandika hivo..
Nanukuu paragraph hii..
"Habari zilizopatikana kutoka maeneo mbalimbali zinasema kuwa mgombea huyo hv sasa anajutia uamuzi wake wa kuacha ajira yake serikalini na kujitosa ktk mbio hizo huku akitarajia kushinda, lakini upepo umeonyesha kwamba kamwe hawezi hata kumkaribia kwa kura Dr Kafumu." mwisho wa kunukuu..
Je mliopo Igunga ni yakweli hayo?
Hili gazeti pia linamilikiwa na nani?