Mgombea wa CCM kata ya Kiborloni amejitoa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgombea wa CCM kata ya Kiborloni amejitoa

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Mungi, Feb 8, 2014.

 1. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #1
  Feb 8, 2014
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,962
  Likes Received: 383
  Trophy Points: 180
  Hizi ni habari ambazo nimezipokea kwenye text

  Mgombea wa ccm Kiboroloni ametangaza kujitoa kwenye kinyang'anyiro leo
   
 2. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #2
  Feb 8, 2014
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,437
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  What happened maze?
   
 3. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #3
  Feb 8, 2014
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,962
  Likes Received: 383
  Trophy Points: 180
  haijulikani, ila nadhani ameona hali siyo nzuri
   
 4. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #4
  Feb 8, 2014
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Hahahahahahaha, hiyo haitakuwa habari nzuri kwa kiongozi wetu NAPE aliyekuja kututukana badala ya kumfanyia kampeni mgombea wetu huyu.
   
 5. Kasimba G

  Kasimba G JF-Expert Member

  #5
  Feb 8, 2014
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,515
  Likes Received: 511
  Trophy Points: 280
  atakuwa mchaga wasio takiwa na CCM hao!
   
 6. Kisima

  Kisima JF-Expert Member

  #6
  Feb 8, 2014
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 3,672
  Likes Received: 1,973
  Trophy Points: 280
  Leta news frm the trusted source, hizo taarifa umezfanyia uchunguzi? Lumumba wakisikia hili presha juuu!
   
 7. Alinda

  Alinda Platinum Member

  #7
  Feb 8, 2014
  Joined: Jun 26, 2008
  Messages: 1,538
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  MMh ya kweli haya?? Ila mkuu Mungi huwa sina wasi wasi na taarifa zako..
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #8
  Feb 8, 2014
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,162
  Likes Received: 855
  Trophy Points: 280
  subiri TBC..
   
 9. G

  Getstart JF-Expert Member

  #9
  Feb 8, 2014
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 5,271
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 160
  Tunajua kanuni za uchaguzi, hawezi kujitoa Leo uchaguzi ukifanyika kesho. Mbona mnavumisha yasiyowezekana ni kwa faida ya nani?
   
 10. House of Commons

  House of Commons JF-Expert Member

  #10
  Feb 8, 2014
  Joined: Oct 1, 2013
  Messages: 1,683
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Aliyeko Moshi atujuze
   
 11. m

  manucho JF-Expert Member

  #11
  Feb 8, 2014
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 3,410
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  hahahahahahahahaha! . amesoma alama za nyakati huyo kaona asihaibike bora ajinasue mapema kuliko kupata kura yake na mke wake
   
 12. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #12
  Feb 8, 2014
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,962
  Likes Received: 383
  Trophy Points: 180
  Taarifa kama hizi tbc hawatoi.

  Hata hivyo kujitoa kwake ni very late manake jina haitatolewa
   
 13. M

  MpendaTz JF-Expert Member

  #13
  Feb 8, 2014
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 1,531
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  Hebu tupe habari zaidi. Tena alionekana kuwa na kigugukizi siku Nape alipokuwa anamnadi?
   
 14. mihadarati

  mihadarati JF-Expert Member

  #14
  Feb 8, 2014
  Joined: Aug 27, 2013
  Messages: 273
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Hapana hajajitoa mimi nimehudhuria mkutano wao alikuwa anabwabwaja Mzee mwanri na kunukuu vifungu vya biblia kuwahadaa wananchi.
   
 15. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #15
  Feb 8, 2014
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 23,301
  Likes Received: 13,570
  Trophy Points: 280
  Kama hii ni kweli, then sasa siasa ndio zinaanza, huyo jamaa atakuwa alikuwa CCM kadi na moyoni Chadema!, 2015, CCM haina chake tena Kanda ya Kaskazini, na hili nililisema hapa [h=3]Mtazamo: Kanda ya Kaskazini, CCM imechokwa mpaka basi![/h]
  Haya ni matokeo tuu!.

  Pasco
   
 16. m

  mwanza_kwetu JF-Expert Member

  #16
  Feb 8, 2014
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 684
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Who can verifu this info pls. I still see it hearsay
   
 17. Makala Jr

  Makala Jr JF-Expert Member

  #17
  Feb 8, 2014
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 3,398
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Japokuwa Ngugi Wa Thiong'o alisema kukimbia tatizo si dawa ya kutatua tatizo, kwa upande wa wagombea wa CCM ni bora wakimbie kuliko aibu ijayo!
   
 18. manning

  manning JF-Expert Member

  #18
  Feb 8, 2014
  Joined: Apr 1, 2013
  Messages: 3,518
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  WatanI zangu CCM Mfuate ushauri wa mwenyekiti wenu ana macho na masikio mengi.
   
 19. mhalisi

  mhalisi JF-Expert Member

  #19
  Feb 8, 2014
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,181
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Moshi ni pachungu sana kwa CCM
   
 20. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #20
  Feb 8, 2014
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,437
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145

  Dah! haya bwana kuvuja kwa pakacha...?
   
Loading...