DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,129
Mgombea urais Zanzibar, Ameir Hassan Ameir, ameonesha utofauti kwa kutinga na usafiri wa bodaboda kwenda kuchukua fomu ya kuwania urais.
Soma Pia: GE2025 - CCM Zanzibar yatangaza Ratiba ya Mgombea Urais Kuchukua Fomu
Soma Pia: GE2025 - CCM Zanzibar yatangaza Ratiba ya Mgombea Urais Kuchukua Fomu