Mgombea Urais wa Ufaransa Arushiwa Unga akiwa Jukwaani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgombea Urais wa Ufaransa Arushiwa Unga akiwa Jukwaani

Discussion in 'Jamii Photos' started by Inanambo, Feb 3, 2012.

 1. Inanambo

  Inanambo JF-Expert Member

  #1
  Feb 3, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 2,864
  Likes Received: 1,149
  Trophy Points: 280
  Mwanachama wa chama cha kijamaa cha Ufaransa ambaye ni mgombea Urais wa Ufaransa wa 2012, Francois Hollande akiwa amefunikwa na unga sijui wa Ngano au Mahindi au Muhogo, baada ya mwanamke ambaye hakujulikana kukimbia jukwaani na kumrushia unga huko Paris feb 2012The woman ran to the side of the podium where Socialist Francois Hollande stood on Wednesday to sign a "social contract" in favor of housing for all.
  Hii picha imenisikitisha sijui ni kwa nini watu siku hizi wanawafanyia viongozi Vituko kama hivi. Yeye si alikuwa tu anaomba kuungwa mkono katika suala la Nyumba kwa Wote. Amenikumbusha kule Mwanza 2005 yaliyotokea baada ya yule Sangoma kutaka Kumwangusha JK.

  frenh3.jpg french 1.jpg french2.jpg
   
 2. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #2
  Feb 3, 2012
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Dah inatia huruma
   
 3. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #3
  Feb 3, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  wanafanya kampeni hadi usiku?
   
 4. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #4
  Feb 3, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Mwanamke tena? Alikuwa na bifu naye nini?
   
Loading...