Richard
JF-Expert Member
- Oct 23, 2006
- 15,502
- 22,355
Emmanuel Macron (kushoto) wa chama cha En Marche kushoto na Marine Le Pen wa chama cha National Front
Mzunguko wa kwanza wa uchaguzi wa raisi nchini Ufaransa umefanyika huku mgombea wa kujitegemea bwana Emmaneul Macron akiwa anaongoza kwa asilimia 23.7
Mgombea wa chama cha National Front Marine Le Pen anafuatia kwa asilimia 21.7
Uchaguzi wa raisi nchini Ufaransa umefanyika chini ya ulinzi mkali wa vyombo vya ulinzi na usalama huku wizara ya mambo ya ndani ikiwa imetoa onyo la jaribio lolote la kuvuruga upigaji kura vikiwemo vitendo vya kupiga kura za kughushi zinazosambazwa katika mitandao ya kujamii.
Zoezi la upigaji kura ni kuhakikisha kura zote zinahesabiwa katika vituo vipatavyo 200 nchi nzima ambapo vituo hivyo vilitarajiwa kufungwa saa moja jioni ya jumapili kwa saa za Ufaransa.
Uchaguzi wa mwaka huu ulikuwa ni mgumu mno kwa wagombea huku kukiwa na nafasi ndogo ya watabiri ambapo kufikia siku ya Ijumaa, kulionekana kungepatikana wagombea wapatao wanne.
Hata hivyo wagombea Francois Fillon wa chama cha Republicans na Jean -Lucmelenchon wa chama cha La France Insoumise wameachwa nyuma bwan Fillon akiwa na asilimia 19.5 na bwana Melenchon pia akiwa na asilimia 19.5 ya kura zilizopigwa.
Baada ya mshindi wa hatua hii ya kwanza kupatikana akifutiwa na mshindi wa pili ambao wanatarajiwa kuwa bwana Macron ma Marine Le Pen wataingia katika mzunguko wa pili ambapo ndipo atakapochaguliwa raisi wa Ufaransa.
Uchaguzi wa raisi wa Ufaransa unatarajiwa kufanyika tarehe 7 mwezi ujao.
===========================================================
Emmanuel Macron has won the first round of the French presidential election, according to early projections of the result.
A series of projections by polling companies have put the independent centrist ahead of Marine Le Pen.
Mr Macron, 39, started his own movement En Marche! just over a year ago.
He told the AFP news agency: "The French have expressed their desire for change. We're turning a page in French political history."
Who is Emmanuel Macron?
Born in Amiens in northern France in December 1977, Emmanuel Macron is the son of a doctor and a neurology professor.
Mr Macron gained degrees in philosophy and public affairs in Paris before attending the elite National School of Administration (which counts Francois Hollande among its graduates).
He joined the civil service in 2004 and quit for a job with Rothschild investment bank in 2008.
Reportedly becoming a millionaire, he left in 2012 for a senior position in Mr Hollande's staff, deputy secretary-general at the Elysee Palace.
His climb up the establishment ladder continued in 2014 when then prime minister Manuel Valls made him minister for the economy.
Emmanuel Macron
Party - En Marche!
Mr Macron's bid for the presidency began last year when he ditched Mr Hollande's Socialist Party and established his own independent movement, En Marche! (On the Move).
He recruited thousands of volunteers to knock on doors during the summer to hear people's ideas and opinions and En Marche! has whipped up impressive support.
Its website boasts that more than 200,000 members have joined in under a year.
Who is Marine Le Pen?
Marine Le Pen cast her vote in Henin-Beaumont in northern France
Marine Le Pen has spent much of her life under the shadow of her father Jean-Marie Le Pen, who founded the party she now leads, the National Front.
Born in 1968 in the leafy neighbourhood of Neuilly-Sur-Seine, just west of Paris, she survived a bomb attack on the family house when she was eight. A lawyer by training, Ms Le Pen showed an early interest in politics, accompanying her father to rallies from a young age and joining the National Front when she was 18. She was first elected to a regional post in 1998, marking the beginning of her political career.
As she rose the ranks of the party, becoming its leader in 2011, Ms Le Pen sought to purge it of its most overtly anti-Semitic and racist overtones - even if it meant fighting with her father. The pair fell out in 2015 when Mr Le Pen reiterated his stance that gas chambers were a "detail of history" - and was expelled from the party in a public row with his daughter.
The 48-year-old is twice divorced and has three children from her first marriage. She remains very private about her personal life.