Wakuu Salaam,
Mgombea Urais wa CHADEMA anayeungwa mkono na UKAWA, Edward Lowassa pamoja na Mgombea Mwenza wake, Juma Duni Haji, muda huu wanakwenda NEC kupeleka petition yao. Wakitoka huko watafanya press conference saa 5 asubuhi hii, Ngome, kuzungumza na waandishi wa habari juu ya petition hiyo waliyowasilisha.
Mr. Lowassa and his running mate, Juma Duni Haji, are sending their petition to NEC this time, after there they would hold a press conference at Ngome, UKAWA Election Campaign Office in Kawe, 2 pm.
You are welcome
Makene
UPDATES KUTOKA TUME
MGOMBEA URAIS EDWARD LOWASSA AKIAMBATANA NA MGOMBEA MWENZA JUMA DUNI
Wamepeleka petition Tume ya uchaguzi asubuhi hii,kuelezea kukataa matokeo yanayotangazwa na kuondoa rasmi uwakilishe wake tume
Cha kushangaza AMENYIMWA KUINGIA NA TUME IKAKIMBIA KUMALIZIA KUTANGAZA MATOKEO.
Muda huu yuko pale TUME YA UCHAGUZI muda huu.
Tanzania is simpy not. A DEMOCRATIC STATE .