mfungwa
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 1,291
- 341
CCM ina matatizo mawili ambayo yanaondoa umoja. La kwanza ni defection ya Lowassa.
Tatizo la pili ni pale Kamati ya Usalama ilipowachagua watu watano wakapigiwe kura na Mkutano Mkuu,na Rais Kikwete akayapokea yale majina na kuyaweka kapuni na kutoa listi yake mpya mfukoni.
Na labda wapo wengine CCM ambao hawakubaliani na vyote,uteuzi wa Kamati ya Usalama na uteuzi wa Kikwete.
Hivi siasa zikiisha utafanya kazi gani?, mfuate Gwajima mshauri wa rais na wamiliki wa benki Tanzania. Mkiitwa lofa mkubali.