Elections 2015 Mgombea urais wa CCM, John Magufuli ni batili

Majina nimeyaandika,Jaji Ramadhani,Mahiga,Asha Rose,Mizengo Pinda na Makongoro. Hao ndio waliochaguliwa katika mchakato,lakini Kikwete akabadilisha mambo ili ,inasemekana amweke Membe,na ndiyo ikaleta kura za hasira.

Kundi la Lowasa ndio liliichagulia ccm nani awe mgombea wa ccm, na sasa wamekigeukia kinyago walichokichonga wenyewe. Hakitasalimika.
 
Nyerere unazalilisha jina nyerere ,maana unapotunia jina hili na kufanya siasa za maji taka basi wewe ni wale wa kununuliwa tu,nakukumbusha ebu twmbie mgombea wa ukawa alipatikana kwa utaratibu upi?
ukijibu hilo b=ndo uje kulema kelele za sijui usalama kumpendeleza rais wa ccm,



Huo ndio ukweli huko huko ccm ikifika Oct karibia ya uchaguzi ndo utaelewa ujumbe Wa mtoa mada
 
CCM ina matatizo mawili ambayo yanaondoa umoja. La kwanza ni defection ya Lowassa.

Tatizo la pili ni pale Kamati ya Usalama ilipowachagua watu watano wakapigiwe kura na Mkutano Mkuu,na Rais Kikwete akayapokea yale majina na kuyaweka kapuni na kutoa listi yake mpya mfukoni.

Na labda wapo wengine CCM ambao hawakubaliani na vyote,uteuzi wa Kamati ya Usalama na uteuzi wa Kikwete.
🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom