Mgombea ubunge wa UPDP Igunga

Mgombea ubunge wa UPDP Igunga

Sera zao ni makini. Wasikilizaji wanaambiwa wale chips na kunywa soda/bia kwanza kabla ya kusikiliza hotuba. Nimewapenda hawana fujo kama mitaa mingine!
 
wale walipewa pesa na ccm ili kuharibi attention ya watu pale igunga lakini pa kuharibu kura...na wiki hii watapiga kampeni kwa nguvu...walipopewa pesa walipita baa wakazitwanga bia ndo wakaenda kwenye kampeni....
 
the good thing alikuwa anahutubia na watu wanamsikiliza.....kaazi kwelkwel
 
TBC na UPDP sijui ni kuna nini...au basi niseme waandaji wa taarifa wanapenda comedy zaidi ya serious issue, hiyo ya jana ni mara ya pili mara yakwanza waliwapa air time ya kutosha pale walipo kuwa wakijisifia jinsi watakavyo anza kampeni yao na staili yao wanaiita "break za Paka" na mahojiano yao yakafanyika Bar na wakaonyesha uhodari wao wa kusakata mayenu badala ya kumwaga sera na jana pia nkawaona kwenye uzinduzi wa kampeni zao walipo anza kwa kutangaza kuwa vinywaji vinapatikana vya kumwaga then comedian wao akapanda jukwaani kumwaga vichekesho na si sera....Labda TBC washa soma upepo kuwa tunapenda upuuzi zaida ya vitu vya maana
 
Kabla ya mkutano kuanza, matangazo yaliagiza anayetaka kinywaji angeweza kununua kwa pesa yake, yaani soda hata bia. hivyo wao walishaanza kitambo.
Hao wa updp walilewa pombe, viongozi wetu wengi wamelewa madaraka.
Waliagiza watu wajileweshe kwa gharama yao wenyewe, sawa na serikari yetu inavyotumia rasilimali yetu kisha kudai mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyewe, na kuagiza wananchi wajenge shule zao wenyewe.
Mgombea aliongea kama utani kwa lengo la kuchekesha kama kiongozi wetu mkuu anavyofanya hata misibani.
 
attachment.php
 
Hii thread haina mvuto wala mashiko lakini nashangaa imeruhusiwa kuingia hapa wakati thread yangu iliyobeba ujumbe mzito ya ''TANZANIA INASHIKA KASI'' eti imepotezewa.
Nilini wewe uliwahi kutoa thread yenye ujumbe hata mwepesi zaidi ya ushabiki usio hata na maana? Nawapongeza mods kwakupotezea, maana ungeishia kutuchosha na upupu wako.
 
Natamani na leo nimwone....! Nilifurahi sana. Kama tunawapa wenye akili zao wanachemka ni bora kumpa chizi au cha pombe kama huyu. Hao wanaojifanya madaktari wa akili ndo wameuza rasilimali zetu zote kwa wazungu wametuacha maskini. Kabla watu hawajasoma walikuwa hawawezi kujitawala?
 
kaamua kufurahisha wana Igunga, anataka kupounguza kura tu ili CCM wasiambulie kitu.
 
Back
Top Bottom