Mgombea ubunge wa UPDP Igunga

Hao ni wahuni wa Pale Igunga, jamaa zake Dovutwa

Mkuu, yule jamaa ni nomaa!!

Yani anasema vijana hawana ajira, wanaota jua tuuu kama solar panels!!!!

Halafu eti..........kuna msela mmoja anasema kinywaji mjinunulie wenyewe, chips zipo paleeeee!!!! kulaleki!!!
 
Heri ya huyu jamaa alieamua kutoa ahadi hewa akiwa kalewa kuliko jamaa wa magamba ambao kila kukicha wanaongeza mashangingi Igunga! baada ya uchaguzi hukaa kimya wasikumbuke ahadi walizoahidi.
 
Hiv ww ritz hulali, manake 12 asbh niliona post zako,sa hiz saa saba usiku nimetoka kujisaidia nilikuwa nimelala nachungulia humu jf upo! Mzee kwan nape anakulipa ovatime, unakiuka hata sheria za kaz mzee, lala ndugu yangu utakuja pata kiarus bure
ritz na wenzake wapo busy na hii kazi lakini mikojo inawatoka
Katuni%2B8.jpg
 
Jamaa anacheza na maisha ya watu,pia nahisi ni mvurugaji anafaa viboko 6 vya Nguvu,na hiyo pesa aliyochukulia fomu bora angenunulia machungwa akala
 
Jamaa anacheza na maisha ya watu,pia nahisi ni mvurugaji anafaa viboko 6 vya Nguvu,na hiyo pesa aliyochukulia fomu bora angenunulia machungwa akala
mi nafikiri hawa ndo wanacheza na maisha ya watu sio huyu mchizi wa UPDP.
ccm%2Bevap.jpg
 
Nimempenda yule mgombea sio yule anayekuja na kigobore !yule mtu ni wa igunga original
 
Anafanya mzaha wapi mkuu. Hiyo ndiyo picha ya na hali halisi ya avarage cizten wa wilayani na vijijini. We kama uko mjini na hujai kuspend some time wilayani na vijijini utashangaa. Huyo jamaa hajui tu kufanya maigizo yaani kawa himself na sincere . Kwa kuwa watu wamezoea siasa wanataka wadanganywe wanataka watu wa maigizo.

Huyu anaweza kuwa bora kuliko hata kuchagua wa CCM. Huyu ni aina ya mtu ambaye hata akiwa mbunge bado anaweza kutumia siku hata zaidi 150 kati ya 365 kwa mwaka kukaa jimboni kwake igunga.

Huyu ni aina ya wabunge anaweza asiwe na la kuongea kuhusu Afrika mashariki au kuhusu Mambo ya Nje au kuhusu internet au Viwanda lakini ni mtu ambaye anajua hasa wanaigunga wanataka nini. Sio wanasiasa wa mjini mara nyingi tunafundisha wapiga kura nini wanataka.....


Mkuu, hawaaminikia hao,
Wakishapata wanabadilikaga hao, hawataki tena kukaa kijijini, angalia asilimia kubwa ya wabunge nchi hii wametoka vijijini, bush kabisa lakini wakishapa huo Uhishiwa, wanahamia mijini, wanasahau walikotoka, wanasahahu hayo maisha, mifano ni mingi sana, bila shaka waweza kuwa na mifano kadhaa wewe mwenyewe.
 
Tendwa yuko wp,chama hakipo serious bado kina exist,naona wametumwa na magamba kupunguza kura na hamasa za vyama pinzani,dah tanzania tunayohitaji naiona ipo mbali sana kama chama hiki nacho kinawanachama kazi wanayo
 
Hiyo ndio Igunga bwana, sisi huku tunafaidi mengi
mmesahau lingine kuwa watu walikaribishwa vinywaji kwa hela yao, soda, bia na Chips Hakuna haja ya kusubiri Alhamisi kwa ajili ya kuangalia ze Komedi,komedi orijino, wala Futuhi
 
Hiyo ndio Igunga bwana, sisi huku tunafaidi mengi <BR>mmesahau lingine kuwa watu walikaribishwa vinywaji kwa hela yao, soda, bia na Chips Hakuna haja ya kusubiri Alhamisi kwa ajili ya kuangalia ze Komedi,komedi orijino, wala Futuhi&nbsp;
 
Pamoja na TBC1 kushindwa kutoa muda wa kutosha kwa habari za Msajili wa Vyama vya siasa na Tume ya Uchaguguzi, wametoa muda wa kutosha kwa Mgombea ubunge wa jimbo la Igunga kupitia UPDP! Huyu jamaa alikuwa anaongea kama wasanii wa Zecomedy na mbaya zaidi anaonekana kama kalewa. Kama si hivyo basi huyu jamaa ni mteja wa Mirembe Hospital!!

Alizidisha stimu ndo maana akaharibu.
 
Kuna neno moja alilolizungumza kuwa Vijana watapata ajira watakuwa wanawapiga Ng'ombe kupe watalipwa kwa MaPaund na Madolla!
 
Sijaona tofauti yake na Wenje ni watu wanofanana ki sera!
 
duh....mimi nilimuona nikashindwa kujua lengo lake hasa ni nini....tena mimi nilibahatika kumuona akicheza ndombolo huku yupo chicha.......tutaona mengi jamani....khaa
Cha kusikitisha zaidi ni jinsi wapuuzi TBC kumpa kichaa airtime yote ile wakati kuna mambo ya msingi sana ameongea msajili au wanakampeni wengine kama kafu na cdm

I really dont understand TBC ipo kwa faida ya nani kwani sidhani hata kama inawanufaisha CCM
 
Huyu Jamaa aligundua hana jipya la kupata attention ya watu ndio akaamua kujidunga mipombe yake nakupanda jukwaania na style ya comedy ili apate japo kuonekana kwenye runinga, na alifanikiwa kwani TBC1waliacha shughuli zao na kumpa air time ya kutosha!
 
Back
Top Bottom