Mgombea ubunge jimbo la Mufindi kupitia CHADEMA, Titho Emanuel atekwa akiwa njiani kurudisha fomu

Mkuu wagombea Chadema wanauza Fomu mchana kweupe bila haya ukiwalipa wanasema wameporwa na wasiojulikana . Chadema sijui wafanyaje kuwadhibiti hao wauza Fomu
Wanamuuzia nani??TAKUKURU WAMEKUFA???
 
Chadema imejaa uhunu, ni watu washari, hawana uzalendo, wako cheap sana, kwahiyo wanauza fomu halfu wanasingizia kutekwa.
 
Ccm mmeona madhara ya kukabidhi nchi kwa Limbukeni , mshamba , intarahamwe , mhutu , juha anayeteka watu wakati anauwezo wa kujitangaza au kuwatangaza anaowataka ila kiu ya damu inamsumbua .
 
S
mbona wanakatwa hadi mapanga ujauona yule wa temeke,
polisi inaouwezo wa kuzuia haya,kukkaaa kimya ni kuyabariki,
ujayasikia ya tunduma mgombea kubambikwa kesi ya ujambazi au haupo tza
iyo kila unachosikia unaamini kirahisi tu.
Lazima ujipe muda wa uchunguzi na kuhakiki ukweli wa habari husika.
 
K
kwann yawe ni ya kujirudia rudia tena kwa upande mmoja why ccm wao awatekwi
Swali zuri, kwanini wa vyama vingine tofauti na CHADEMA hawatekwi kama wa CHADEMA?
Wanaonekana tishio, au wanajiteka, wanauza form kwa washindani wao?
 
Mgombea Ubunge jimbo la Mufundi kwa tiketi ya CHADEMA, Titho Emmanuel Kitalika ametekwa na watu wasiojulikana wakati akiwa njiani kwa ajili kurudisha fomu ya kugombea ubunge jimbo hilo. Amepigiwa simu akasikika akipiga kelele akilalamika wananiteka.

Mimi in chadema lakin chadema na nyinyi mmekuwa wapumbavu na mikakati mibovu kwanini arudishe form pekeyake wakati lissu alisema wakati wa kuchukua na kurudisha form mgombea asindikizwe sasa kama angekuwa na wenzake hao wahuni wangemnyang'anyaje form huo ni upuuzi kwa upande was chadema hapo mmefanya hovyo to the highest order
 
Mimi mwenyewe nina mashaka aisee, mtu uhujumiwe ukiwa ushafanya precautions zote, mtu unatembea peke yako bila ulinzi na unajua kuwa hii ni ishu serious then eti nimetekwa, wagombea wa CHADEMA hebu jaribuni kuwa serious kidogo.
Ametekwaje wakati waliambiwa ni marufukukurudisha form ukiwa pekeako au mkiwa wachache? Isije kua kuna wagombea wachache wamepewa hela na kukihujumu chama.
 
CHADEMA naona mnaufanyia kazi huu mpango wa kibeberu kuichafua nchi ili mkishindwa jamaa wainilie kati?
Ninyi watu si wema kabsa kwa familia zetu.

Mnachokitaka kikitokea hakitachagua wana-CCM pekee na familia zao. Tusiokuwa na kwa kukimbilia tutabaki kuitetea nchi huku tukiomba Mungu kama ilivyokuwa kwenye janga la COVID-19.
Mbona hamfanyi maombi kuhusu Ukimwi?
 
Back
Top Bottom