Mgombea ubunge jimbo la Mufindi kupitia CHADEMA, Titho Emanuel atekwa akiwa njiani kurudisha fomu

Nalaani vitendo vyote vya utekaji ila tuseme tu ukweli wengi wa wagombea wa upinzani especially wa chadema wana kaujinga ka hali ya juu. Hivi unashindwa nini kuzama chimbo kwa siku tatu tu ili usiporwe au kutekwa? Lissu alisema wasirudishe fomu bila kusindikizwa hii nayo imepuuzwa na baadhi. Imagine nimecheki ile video ya yule mgombea aliyembiwa kabisa siku tatu kabla kuwa kuna mpango wa kukuteka na bila aibu anasema eti sikutilia maanani, really!!
 
Mimi sitaki kupuuza tuhuma kwamba kuna uwezekano wengine wakauza form na wakasingizia kwamba wametekwa,,hili sio la kupuuzwa,kwanza wanatekwaje? Inamaana mgombea anarudisha form akiwa peke yake? Kama yuko peke yake kwanini iwe hivyo? Kama amesindikizwa na wanachama wenzake hao watekaji ni wengi kiasi gani hadi wafanikiwe jambo hill?
 
Wagombea waliambiwa wasirudishe fomu wakiwa wenyewe huko inakuaje? au amepokea kibunda tayari?
Kwanza kitendo cha wagombea kwenda na ulinzi uchaguzi unakuwa siyo huru na haki.

Inawezekanaje wagombea wanyang'anywe form na tume wamekaa kimya ?
 
Kwanini hakuna mfumo wa kujaza fomu online?
Tusianze kutafuta excuse jamani tume imeamua kuvuruga uchaguzi.

Kama tume wangekuwa hawahusiki na huu uhuni wangekemea utekwaji huu wa wagombea.

CHADEMA taifa na wenyewe wako kimya dhidi ya huu uhuni unafanywa mbona katibu mkuu na naibu wake bara wote siyo wagombea ?

Haiwezekani wawe kimya mpaka sasa ina maana hawaoni huu ushenzi unaoendelea?
 
kutokana na wimbi la wagombea wa upinzani kuwindwa na shetani kama swala ili watekwe au wauliwe huku viongozi wa dini na tume wakikaa kimya sababu wagombea wa ccm hawatekwi ni jukumu lao sasa wagombea wa upinzani kujihami binafsi na kurekodi matukio yote live watumie kofia,miwani,earphone, nguo zenye camera 360 degree warekodi kila kitu huku wakitembea na watu waliofully armed ili kujilinda endapo watafamiwa waweze kutoa fundisho ili wakamsimulie shetani aliyewatuma na sio kulalamika mnatekwa tekwa hovyo hovyo kirahisi tu kumbukeni mpo mawindoni sababu wanajua awatoboi kwenye sanduku.Toeni funzo kama wananchi wa Ukara tembeeni hata na asidi atakaekugusa tu anayo ndo njia pekee ya kujihami,hatutaki watu wa kulialia safari hii.Rekodini matukio yote mrudishapo formu kama ushahidi na kuyarusha live watz wayaone. Pia tembeeni na kopi za fomu kwenye bahasha ifananoyo na ya nec ili kuwaadaa waporaji wakija wapore hizo kopi huku halisi mkiwa mmezificha mnapopajua wenyewe. Tumieni kanuni namba 9 ya shetani mtu akikufanyia ushenzi mfanyie mara kumi yake mpaka ajiulize huyu ni mtu au.Endeleeni kuwa wajinga mtatekwa hadi mchakae
 
CHADEMA naona mnaufanyia kazi huu mpango wa kibeberu kuichafua nchi ili mkishindwa jamaa wainilie kati?
Ninyi watu si wema kabsa kwa familia zetu.

Mnachokitaka kikitokea hakitachagua wana-CCM pekee na familia zao. Tusiokuwa na kwa kukimbilia tutabaki kuitetea nchi huku tukiomba Mungu kama ilivyokuwa kwenye janga la COVID-19.
acheni figisu za kuwateka na kuwabambikia kesi polisi ili washindwe kihalali wenyeewe,
 
Ametekwaje wakati waliambiwa ni marufukukurudisha form ukiwa pekeako au mkiwa wachache? Isije kua kuna wagombea wachache wamepewa hela na kukihujumu chama.
Hakuna anayetekwa hapo, ni uhuni wa kutaka kuichafua serikali ya Tanzania kimataifa ionekane uchaguzi haukuwa huru na wa haki.
Wanatengeza mazingira ya kuja kuwatia hatiani viongozi wetu na vyombo vya dola wakishindwa uchaguzi na kuanzisha vurugu kwa makusudi.

Hujaona huu mchezo?
Mbona wanarudia script ya filamu za Libya, Iraq, Zimbabwe, Syria, Venezuela, Taiwan na Cuba.
acheni figisu za kuwateka na kuwabambikia kesi polisi ili washindwe kihalali wenyeewe,
Kama wanatekwa kweli na Polisi au CCM au serikali basi watu wanachezea amani ya nchi yetu, wanafanya jambo hatari sana.
DISCLAIMER: Mimi siamini serikali au vyombo vyake vinafanya utekaji huo, Au kamata kamata ya makusudi ili kuwazuia wasikamilishe utaratibu wa kuwa wagombea halali.
 
Mkuu wagombea Chadema wanauza Fomu mchana kweupe bila haya ukiwalipa wanasema wameporwa na wasiojulikana . Chadema sijui wafanyaje kuwadhibiti hao wauza Fomu
Wanamuuzia nani ili nani afaidike?? Kundi linaloumizwa na kadhia hii sio vumilivu na Wanajulikana jina lao NI VIJANA
 
Hakuna anayetekwa hapo, ni uhuni wa kutaka kuichafua serikali ya Tanzania kimataifa ionekane uchaguzi haukuwa huru na wa haki.
Wanatengeza mazingira ya kuja kuwatia hatiani viongozi wetu na vyombo vya dola wakishindwa uchaguzi na kuanzisha vurugu kwa makusudi.

Hujaona huu mchezo?
Mbona wanarudia script ya filamu za Libya, Iraq, Zimbabwe, Syria, Venezuela, Taiwan na Cuba.

Kama wanatekwa kweli na Polisi au CCM au serikali basi watu wanachezea amani ya nchi yetu, wanafanya jambo hatari sana.
DISCLAIMER: Mimi siamini serikali au vyombo vyake vinafanya utekaji huo, Au kamata kamata ya makusudi ili kuwazuia wasikamilishe utaratibu wa kuwa wagombea halali.
Shida sio unachoamini ila unachotaka tuamini kuhusu wewe...
 
Majinga kabisa nyie.Na nyie tafuteni CCM hao watekeni,wapopoeni n.k
 
Hakuna anayetekwa hapo, ni uhuni wa kutaka kuichafua serikali ya Tanzania kimataifa ionekane uchaguzi haukuwa huru na wa haki.
Wanatengeza mazingira ya kuja kuwatia hatiani viongozi wetu na vyombo vya dola wakishindwa uchaguzi na kuanzisha vurugu kwa makusudi.

Hujaona huu mchezo?
Mbona wanarudia script ya filamu za Libya, Iraq, Zimbabwe, Syria, Venezuela, Taiwan na Cuba.

Kama wanatekwa kweli na Polisi au CCM au serikali basi watu wanachezea amani ya nchi yetu, wanafanya jambo hatari sana.
DISCLAIMER: Mimi siamini serikali au vyombo vyake vinafanya utekaji huo, Au kamata kamata ya makusudi ili kuwazuia wasikamilishe utaratibu wa kuwa wagombea halali.
mbona wanakatwa hadi mapanga ujauona yule wa temeke,
polisi inaouwezo wa kuzuia haya,kukkaaa kimya ni kuyabariki,
ujayasikia ya tunduma mgombea kubambikwa kesi ya ujambazi au haupo tza
 
Back
Top Bottom