Mgombea ubunge Afrika Mashariki, kweli kuna watu wameumbwa, nimeamua kumpigia kampeni Fancy Ikuhi

CCM majina ya wanaume ni ya watoto wa vigogo tu.

Kimbisa.Jumanne Maghembe. Makongoro Nyerere.

Watoto wa maskini mkalime njugu mawe.

Ndo wanaojua Kiingereza. Sasa watoto wa maskini wasome shule za kata afu wakatuwakilishe kwenye bunge linalotumia lugha ya Malkia mwanzo mwisho? Au unataka wasichangie chochote hadi wamalize term yao?
 
Back
Top Bottom