Mgombea mwenza kurejea CUF

Lisemwalo lipo, huyu Juma Duni kweli hasikiki kabisa siku hizi tofauti na Mama Samia.

Sasa utamsikia wapi wakati unatazama na kusikiliza TBCCCM na startvCCM, kwa taarifa yako alikuwepo Geita jana.
 
Wa Zanzibar hawakumuhitaji Seif wala Shein.Tegemeo lao lilibaki kwa Duni..Seif alipopata chance yakumtafuta mgombea mwenza(ukawa)bara.Akamtoa mpinzani Duni haraka,bila Duni kujua ili SEIF asipate pingamizi..Ndio maana Lipumba akajishusha alijua hakuna tena muwakilishi wa CUF Zanzibar...Duni amerushiwa bomu lenye rangi ya mpira..
 
Endeleeni kuiombea ukawa mabaya mkija kustuka kuwa kumbe mlitakiwa kunadi chama chenu na mgombea wenu wanaopoteza nuru kila uchwao UKAWA iko ikulu
 

naona maagizo ya j.makamba yanafanya kazi...
 
Ccm wanaomba usiku na mchana ukawa wavurugane na hatimayevkyvunjika lkn mm na wewe tumuombe mwenyezi mungu haya epushe haya ili kuwepo na busara na hekima ya viongoz wetu kupatana ili tuing'oe ccm kwa shida wanazotuletea ktk nchi hii.
 
Makufuli... Aapishwe wap..? Kwa ikulu ipi? Makufuli kamuapishe breweries ikulu ya pombe sio ikulu ya JMT.. Ikulu ni takatifu co ya watu aina makufuli ndgu.. Huaomi hata alama za nyakati?
Nimesoma Alama Za Nyakati Mkuu Ni Nakubaliana Nawewe,
Hon.John Pombe Magufuli Hawezi Kwenda Ikulu Ya Jmt Hiyo Ni Ikulu Ya Jamhuri Ya Mafisadi Ambayo Tayari Rais Wao Ni Lowassa,hapo Ndipo Mahali Patakatifu Pa Mafisadi..Lakin Hon.John P Magufuli Ni Rais Na Ataenda Ikulu Ya Jamhuri Ya Muungano Ya Tanzania Octoba Magogoni.....
 
Wanamabadiliko tusiwe wepes wa kukata tamaa kwan kipindi tulichonacho wakat huu wa uchaguz ni kigumu sana na kuna watu wanatumika vibaya kuleta uzushi na uvumi kuwa baadh ya viongoz wa ukawa kuvisalit na kuhama umoja huo kitu ambacho sikwel tusubili tujionee wenyewe.ninasema hivi kwa sababu nimeona dalili za wapenda mabadiliko wameshaanza kukata tamaa na kutokuwa na matumain na taarifa hizi zisizo kuwa na chembe ya ukwel ndan yake.tuwe wavumilivu ndugu zangu hii safar si nyepesi km mlivyofikil na mnavyofikili, cha muhim nivkumtanguliza mwenyez mungu kuwaombea viongoz wetu wasiingie ktk vishawishi vya kuongwa rushwa na ccm.wangu mtazamo
 
pumba za lumumba at work...pole yenu kibanga kapoteza tyming anaiba mpaka slogan
 

nembo gani anatumia ambayo ni yenu wakati hamna hata hati miliki nayo?kwanza nyie m4c yenu ni "movement for collapsing" sisi ni "magufuli for change"
 
Magamba bwana ni shida tu zinawafanya hivi.buku buku zinawazuzua.poleni mnaotumiwa
 
Breaking news:Viongozi wa juu Ccm waandaa mchezo wakutumia ugaidi ili waendelee kututawala..Usipuuze soma habari kamili kupitia www.mzalendo.net .msipuuze haswa vijana wanamabadiliko.
 
Ahahahahaa yaaani Chadema watajuta kuungana mpaka kufikia uchaguzi 25 oct Ukawa watasambaratika wote yule mzee watamuua kwa presha jamani hv nani alimshauri aende huko maana wameshamfilisi
 
Taarifa za uongo uongo hazipaswi kutiliwa maanani.
 
Kwa taarifa nilizozipata juu ya ukawa wanavyorumbana mwisho wao umekaribia tena siku si nyingi Kwanza mbali na Dini kuondoka kuna kigogo mwingine nae nimesikia anaondoka na wengine kwenye majimbo yao hawamnadi Lowasa kwakua wanajua sio msafi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…